ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Unamaana ukitaka kuwa karibu nao wanakuwa hawataki mkuu.?Kwa sababu sisi tusio nacho wengi tunatamani Kuwa karibu na walio nacho ndo maana karibu Kila mbongo ni paparazzi...kuishi na watu ni kazi
Nadhani 2 inasimama zaidi.Vitu vitatu :-
1. Husda
2. Uvivu
3. Ubinafsi
Kosa letu ni kuwa na ziada ya kila kitu KM :-Nadhani 2 inasimama zaidi.
Unajishindia chini ya mnazi lakini utasikia eti lah siwezi kuuza mchicha mimi.
Sasa hivyo vinakusaidaije mkuu,usipoviongeza thamani. Utabaki tu kusema nina ekari kumi mimi lakini hakuna unachovuna hapo.Kosa letu ni kuwa na ziada ya kila kitu KM :-
Ardhi kubwa yenye Rasilimali ndefuuuu...
Sababu NI uvivi ..!! WaChina wana msemo wao!! Hivi:- Kama wewe huwezi kufanya Jambo?, Basi usimzuie mwengine kufanya hiyo kazi !!!!Sasa hivyo vinakusaidaije mkuu,usipoviongeza thamani. Utabaki tu kusema nina ekari kumi mimi lakini hakuna unachovuna hapo.
Sasa mbona kama zinatuumiza kuliko kutupoza.Kwa kiwango kikubwa kinasukumwa na hasira za maisha
Sasa mbona kama zinatuumiza kuliko kutupoza.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Inabidi ujibalansi isizidi maana ukikosa lakufanya ndo ile kuwahi kitanzi
Iko sababu ya kuwaona wezi,_unakosa ujasiri wa kuwauliza walitoboaje!si unajua kiburi tena.Sababu wengine walionacho unaona wezi....
Swala ni kama inamsaidia au inazidi kumuumiza tu.sasa mtu akitafakari usiku wa jana hajala, anaona wewe washiba kingine anakuona ww una madem wakari arafu yeye hana uwezo wa kuwamiliki kwa maana ya kipato kwann asisikuchukie, anaanzaje kuacha kwa mfano sasa!