Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa zaidi ya maabara, vipimo vinatolewa wapi?Nashindwa kuelewa,saivi kuna utaratibu wa kupimwa HIV kabla hata hujaenda maabara,nasikiasikia tu kuwa ni mwongozo wa serikali,je hii ni kweli,au ni huku tu nilipo mimi?
Ninachokizungumza sijasimuliwa,yaan ukitoka mapokezi,ukienda kwa docta kuelezea,kabla hajakwandikia kwenda maabara,anachukua damu,na reagents za HIV test anazo hapohapo mezani,wala hakuandai,ukitoka maabara anakwambia,afya yako nzuri,au la ,kisha anasoma majibu ya maabaraSasa zaidi ya maabara, vipimo vinatolewa wapi?
Sema saivi kila anayehudhuria hospitali za umma lazima aulizwe status yake ya maambukizi then anashawishiwa kupima tangu anapomuona daktari ili akikubali vile akienda maabara tu wamuunganishie.
PITC(health provider initiative test councelling)big up.Sasa zaidi ya maabara, vipimo vinatolewa wapi?
Sema saivi kila anayehudhuria hospitali za umma lazima aulizwe status yake ya maambukizi then anashawishiwa kupima tangu anapomuona daktari ili akikubali vile akienda maabara tu wamuunganishie.
alipaswa kukushauri kabla ya kufanya/kuchukua vipimo. nawe kwanini uliliruhusu kufanyiwa hivyo nakuja hapa jukwaani umefanya makosa.(siku nyingine sio kupima maambukizi pekee hata kama kupima malaria panahitaji ridhaa yako utaki utopimwa.Ninachokizungumza sijasimuliwa,yaan ukitoka mapokezi,ukienda kwa docta kuelezea,kabla hajakwandikia kwenda maabara,anachukua damu,na reagents za HIV test anazo hapohapo mezani,wala hakuandai,ukitoka maabara anakwambia,afya yako nzuri,au la ,kisha anasoma majibu ya maabara
Ni kweli ni Sera ya shirika la Afya duniani (WHO) kwa sasa, na imekuwa adopted na taifa letu pia. WHO ina malengo kuwa kufikia mwaka 2020 ,90% ya watu wawe wanafahamu hali yao ya maambukizi ya VVU, na kati ya hao 90% wawe wameshaanza matibabu ya ARV, na kati ya hao 90% dawa ziwasaidie kuimarisha kinga zao za mwili. Wameanzisha program ya "PROVIDER-INITIATED TESTING AND COUNSELLING", miaka kadhaa iliyopita ,yaani unapofika tu kituo cha afya, mtoa huduma yeyote aliyekuwa licenced (DAKTARI,MUUGUZI,MTEKNOLOJIA WA MAABARA N.K) anatakiwa akushauri kuhusu faida za kujua hali yako ya maambukizi, akueleze faida zake,aandae namna ya kukusaidia kwa majibu yatakayotokea baada ya kupima,ukikubaliana basi atakupima na utaambiwa hali yako ya maambukizi ndani ya dakika 10 hadi 20 na hii inaweza kufanyika sehemu yeyote kama wodini, chumba cha kumuona Daktari nk.,
Ahsante ndugu kwa maelezo mazuri,ila nadhani wanakosa muda wa kuanza kutoa ushauri kwa maana ya kuepusha foleni,
Hiyo approach tu ndo imeenda kushoto kido coz informed concert kwenye Huduma za afya ni lazima. Wengine tunajijua hari zetu so ukipima afu ukakuta nipo +ve bila concert ni kosa. Ila kwa sasa kila client anayevisit hospital lazima aulizwe status yake na ashawishiwe kupima, akigoma basiNinachokizungumza sijasimuliwa,yaan ukitoka mapokezi,ukienda kwa docta kuelezea,kabla hajakwandikia kwenda maabara,anachukua damu,na reagents za HIV test anazo hapohapo mezani,wala hakuandai,ukitoka maabara anakwambia,afya yako nzuri,au la ,kisha anasoma majibu ya maabara
Wamebuni mbinu mpya ya kuongeza wateja wa dawa zao...!!Ni kweli ni Sera ya shirika la Afya duniani (WHO) kwa sasa, na imekuwa adopted na taifa letu pia. WHO ina malengo kuwa kufikia mwaka 2020 ,90% ya watu wawe wanafahamu hali yao ya maambukizi ya VVU, na kati ya hao 90% wawe wameshaanza matibabu ya ARV, na kati ya hao 90% dawa ziwasaidie kuimarisha kinga zao za mwili. Wameanzisha program ya "PROVIDER-INITIATED TESTING AND COUNSELLING", miaka kadhaa iliyopita ,yaani unapofika tu kituo cha afya, mtoa huduma yeyote aliyekuwa licenced (DAKTARI,MUUGUZI,MTEKNOLOJIA WA MAABARA N.K) anatakiwa akushauri kuhusu faida za kujua hali yako ya maambukizi, akueleze faida zake,aandae namna ya kukusaidia kwa majibu yatakayotokea baada ya kupima,ukikubaliana basi atakupima na utaambiwa hali yako ya maambukizi ndani ya dakika 10 hadi 20 na hii inaweza kufanyika sehemu yeyote kama wodini, chumba cha kumuona Daktari nk., Kama majibu yataonyesha ni mwathirika utaanza darasa la dawa (ADHERENCE SESSION), utafanyiwa vipimo vya figo na ini na kwa mujibu ya mwogozo mpya wa WHO ndani ya wiki mbili utaanza matumizi ya ARV bila kujali kiwango chako cha CD4, wala Clinical stage. Kama majibu yataonyesha hauna maambukizi, utashauriwa urudi baada ya miezi mitatu kuhakikisha hali ya maambukizi na utapewa elimu namna ya kujizuia usipate maambukizi
NB:Mtoa huduma hatakiwi kukupima kwa siri au bila wewe kukubaliana (consent), ni kinyume na maadili ya taaluma.