Mwongozo wa Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Mini Supermarket

Katika aina yoyote ya biashara halali wapo wanaoshindwa na wapo wanaofanikiwa, ukipata ushauri kwa walioshindwa watakukatisha tamaa, ni muhimu kuchuja maoni ya wachangiaji. Fanya unachopenda na kukiamini.
 
Kiongozi ongeza huo mtaji fungua hardware na uongee na mafundi wakinunua kitu kwako unawapa ka percent flani utatoka soon.
 

Ushauri mzuri mkuu
 
changamkia fursa, tafuta sehemu watu wanaanza kujenga

Mkuu umcpe matumaini HEWA huyu ndg mi nafanya hii Biashara tangu mwaka 1993 Kwa mtaji wa 10 Biashara ya Hardware ni Utani mBAYA nadhani hiyo MN MARKET angalau ataweza Tatizo la Biashara ya Hardware ina maeneoyake ambayo KODI ya PANGO hiyo 10m inaisha na Bado atadaiwa! Akifungua uswahilini atateseka!
 
Fungua hardware mkuu. Hutajuta. Return ni kubwa na in short time.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

kumbe unamwagika vitu adim kama hivi!...ila unachosha kule MMU na kutaka picha kila post:...........pokea like mkuu!
 
Hakuna kitu duniani kinaitwa MINI SUPERMARKET.

Superior haiwezi kuja kuwa mini inferior tena.

English sahihi ni MINIMARKET au SUPERMARKET tu.

Au ni sawa na kusema SMALL LARGE MARKET does it sound?
 
Hakuna kitu duniani kinaitwa MINI SUPERMARKET.

Superior haiwezi kuja kuwa mini inferior tena.

English sahihi ni MINIMARKET au SUPERMARKET tu.

Au ni sawa na kusema SMALL LARGE MARKET does it sound?

Hahaha... kwel mkuu wewe wakusoma... ingawa wabongo weng tumezoea tukiona ma frame kadogo bas min supermaket
 
Hahaha... kwel mkuu wewe wakusoma... ingawa wabongo weng tumezoea tukiona ma frame kadogo bas min supermaket
Lugha za watu hizi sishangai tumezoea kiswahili chetu lakini tusishindwe kutumia hata dictionary Jamani kwa maneno mageni kujua maana sahihi.
 
Wanajamii naomba kujua vigezo vya kuanzisha biashara ya supermarket.Pia naomba kujua wapi nitapata shelfu vike za chuma za kuwekea vitu kwa bei nzuri,naombeni msaada wenu.
 
Wakuu jamvini habarini, nahitaji kufungua kiduka kidogo kinachofanania supermarket. Je, nahitajika kuwa mtaji was sh. ngapi? Nawasilisha
 
Inategemeana na location,ukubwa wake na vitu utakavyouza ndugu.

Kwa upande wa location kama uko town lazima kodi iwe kubwa.

Vile vile inategemea na ukubwa wa frame yako maaana kama mi kachumba tu mtaji utakuwa wa wastani ila kama utachukua floor mzima lazima uwe na pesa ya kuikarabati mpaka iwe na,muonekano wa super market.

Kama ni supermarket ndogo tu mali peke yake inaweza kuanza na 10m
 

10m ndogo mkuu labda isiwe hiyo supermarket anayotaka
 
Kwa maana halisi ya super market angalau uanze na 300mil hiyo 10 m itakuwa duka tu
 
Nimesema 10m anaweza kuanzia maana kasema anataka min- supermarket sio supermarket kubwa.

Akinunua vitu kama sabuni,mikate,dawa za miswaki,chocolates,toilet paper aluminium foil, wines, biscuits, juice etc for 10M sio mbaya kwa kuanzia. Hiyo ni hela ya manunuzi tu lazima awe keshalipia kodi kulingana na location yake na kuikarabati ofisi ili iwe na muonekano wa min-supermaket
 

Mkuu hata hiyo min supermarket inahitaji angalau items 200 tofauti, ili ionekane kidogo jitahidi uwe na 50m ivi
 
Asante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…