Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Mkuu hardware pia ni moja ya biashara ambayo naiona ni very booming. Thanx for your advice.
Changamkia fursa, tafuta sehemu watu wanaanza kujenga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hardware pia ni moja ya biashara ambayo naiona ni very booming. Thanx for your advice.
Ni kweli duka la vifaa vya umeme linalipa, tafuta eneo zuri na ikiwezekana kwenye iyo pesa toa angalau mil.2 ununue kiwanja kama asset yako endapo biashara itabuma au utahitaji kuongeza mtaji itakusaidia kupata mikopo kwenye mabank kwa namna moja au nyingine. Take a note on this.
changamkia fursa, tafuta sehemu watu wanaanza kujenga
Fungua hardware mkuu. Hutajuta. Return ni kubwa na in short time.
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Hakuna kitu duniani kinaitwa MINI SUPERMARKET.
Superior haiwezi kuja kuwa mini inferior tena.
English sahihi ni MINIMARKET au SUPERMARKET tu.
Au ni sawa na kusema SMALL LARGE MARKET does it sound?
Lugha za watu hizi sishangai tumezoea kiswahili chetu lakini tusishindwe kutumia hata dictionary Jamani kwa maneno mageni kujua maana sahihi.Hahaha... kwel mkuu wewe wakusoma... ingawa wabongo weng tumezoea tukiona ma frame kadogo bas min supermaket
ukishafungua nitaomba kuwa mmoja kati ya suppliers wako.
Inategemeana na location,ukubwa wake na vitu utakavyouza ndugu
Kwa upande wa location kama uko town lazima kodi iwe kubwa.
Vile vile inategemea na ukubwa wa frame yako maaana kama mi kachumba tu mtaji utakuwa wa wastani ila kama utachukua floor mzima lazima uwe na pesa ya kuikarabati mpaka iwe na,muonekano wa super market.
Kama ni supermarket ndogo tu mali peke yake inaweza kuanza na 10m
10m ndogo mkuu labda isiwe hiyo supermarket anayotaka
Nimesema 10m anaweza kuanzia maana kasema anataka min- supermarket sio supermarket kubwa.
Akinunua vitu kama sabuni,mikate,dawa za miswaki,chocolates,toilet paper aluminium foil,wines,biscuits,juice etc for 10M sio mbaya kwa kuanzia. Hiyo ni hela ya manunuzi tu lazima awe keshalipia kodi kulingana na location yake na kuikarabati ofisi ili iwe na muonekano wa min-supermaket
Asante sana mkuuInategemeana na location,ukubwa wake na vitu utakavyouza ndugu,,,