Huyu jamaa ni tahira.Halafu serikali ipo wazi kabisa kwenye ishu ya Corona kuwa ni jambo ambalo siyo la msingi kwao na hawana time nalo ndiyo maana serikali ndiyo inayoongoza kwa kusababisha mikusanyiko,haina time na wananchi kusababisha mikusanyiko,watu wakifa wanazikana tu kiholela bila ya miongozo,hakuna mass testing,hakuna law enforcement ya wasiochukua tahadhari na kadhalika halafu jamaa anakuja na uzi wa upupu kama huu.Na utakuwa unaushahidi gani kama ni uviko 19?hivi watanzania akili za namna hii tutaziacha lini🙄
Watanzania ni watu wa ajabu sanaJamaa kuandika jambo la msingi sana halafu nashangaa watu wanamzodoa. Corona ipo sana, watu wengi wanaumwa na wanakufa. Hata maswali ya eti unauhakika gani kwamba ni corona ni maswali ya kijeuri tu. Subiri ikugonge ndiyo utaamini. Misiba ni shughuli ya mikusanyiko na hivyo ni vyema kwa wakati huu serikali ingetoa miongozo flani.
Degree yangu sio kipaumbele muhimu jikite kwenye hoja na unijibu ilo swali langu.Unaweza kukuta na wewe una degree.
Mkuu labda nikuambie tu kama ulikuwa hujui mimi ni muhanga wa hili janga la corona tayari nimeugua karibu mara mbili lakini naamini huko miaka ya nyuma huu ugonjwa uliwahi kuwepo ingawa ulikuwa hauzungumzwi labda tulikuwa tunaujua kwa jina lingine lakini maisha yaliendelea na bado tunaendelea kuishiJamaa kuandika jambo la msingi sana halafu nashangaa watu wanamzodoa. Corona ipo sana, watu wengi wanaumwa na wanakufa. Hata maswali ya eti unauhakika gani kwamba ni corona ni maswali ya kijeuri tu. Subiri ikugonge ndiyo utaamini. Misiba ni shughuli ya mikusanyiko na hivyo ni vyema kwa wakati huu serikali ingetoa miongozo flani.