Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

Asante kwa elimu nyumbani kwetu kijijini ni wafugaji nipo kigoma kuna maeneo makubwa sana ya kufugia mbuzi, Aman nitakutafuta ili unisaidie kupata hao mbuzi
Tatizo mnapigana vyombo,mnafukuza wageni
 
Mku habari.

Naomba msaada kujua bei ekari moja ya mashamba ya kulima kilimo cha Machungwa na Mahindi na kufuga.

Asante sana Mku
Mkuu Malila, hongera kwa kufuga. Mie nina mpango wa kwenda kufuga wilaya moja huko mkoani Tanga. karibu nawe
 
Mbuzi yoyote yule anaweza kuzaa ndama zaidi ya wawili kutegemea lishe anayopata na kama hana stress.

Ndio maana wasiokuwana lishe njema wanalalamikia "mabeberu!"
 
Mkuu unaweza kunierewesha juu ys huu ufugaji wa zero grazing?
 
Mkuu unaweza kunierewesha juu ys huu ufugaji wa zero grazing?
 
Zero grazing. Ni kama unafuga wakiwa bandani aubwapo kwenye uzio maalum, wawaletea kila kitu hapo. Ni mzuri kwani mfugo haichoki kuzurula lutafuta malisho na kama ni maziwa wanatoa mengi kidogo.
Changamoto ni harufu ya kinyesi kama unaeneo dogo na kama upo maeneo ya mjini.
Mkuu unaweza kunierewesha juu ys huu ufugaji wa zero grazing..,?
 
Kama kuna wanaopenda kufuga wanyama hasa Mbuzi ( wa maziwa,nyama),njooni tuunganishe nguvu tufanye mambo.Inawezekana kabisa tukafuga kwa mafanikio sana. Kila kitu kipo ndani ya uwezo wetu.

I believe together we can go.
Nipo tayari kaka hata kesho tukutane hiliswala nalithamini sana naamini tutafika ktk umoja huu. Mungu akubariki kwa mawazo haya
 
Mbuzi ni wasumbufu na ukiwa na roho ndogo unaweza kuua mbuzi kila sku, kama ww ni mvumilivu bas kipimo sahihi ni kwenye kuwalea mbuzi , kama unataka kufuga wengi Sana wanahitaj eneo la kutosha.
Soko ni constant, matatizo mengine.

1. Watoto kuzaliwa hawawezi kutembea
2. Mbuzi jike kukataa kunyonyesha
3. Minyoo
4. Ugomvi usku kucha
5. Uharibifu
6. Wana viburi
7. nk
 
Nashukuru kwa maelezo yako, hilo la jike kugoma kunyonyesha nalimudu maana hata kwenye Mbwa nailishaipata hiyo changamoto.

Hapo kwenye kiburi na ugomvi usiku kucha nimecheka sana, kwa uajumla nashukuru sana kwa ushauri wako ngoja nikomae nitaleta mrejesho mwaka huu namwomba sana Mungu nifike mahali flani, Barikiwa sana mkuu.
 
Viburi sana halafu hawasikii.

Fujo usiku hasa dume akiwa anataka kugegeda. unaweza usipate usingizi
 
Viburi sana halafu hawasikii...

Fujo usiku hasa dume akiwa anataka kugegeda. unaweza usipate usingizi
Kuna beberu langu moja likajifanya janja likataka limgegede dogi langu. Daadeq dogi liligeuka kama Bruce Lee, beberu likachezea makucha na meno ya kutosha. Ili kuliondolea shida na tabu ya kuvumilia maumivu, mimi na jamaa zangu tukaamua tulionee huruma. Likachezea kisu ukapata kitoweo kiroho safi kabisa.

Nadhani yale mabeberu mengine yatakuwa yamepata fundisho.
 
Hahahah.. [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto ni wakifanya uharibifu kwenye bustani za watu au mazao yaliyoanikwa juani..Jiandae kupewa fain...Jitahidi kuwapa dawa za minyoo itasaidia kukua vyema..
 
Changamoto ni wakifanya uharibifu kwenye bustani za watu au mazao yaliyoanikwa juani..Jiandae kupewa fain...Jitahidi kuwapa dawa za minyoo itasaidia kukua vyema..
Nashukuru sana kwa ushauri nikichinja utapata utumbo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…