chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Tatizo mnapigana vyombo,mnafukuza wageniAsante kwa elimu nyumbani kwetu kijijini ni wafugaji nipo kigoma kuna maeneo makubwa sana ya kufugia mbuzi, Aman nitakutafuta ili unisaidie kupata hao mbuzi