mkuu malila, zile mbegu za miti ya malisho ya mbuzi ninazo hapa dar, ukifika nitakupatia au nitampa manundu akupatie, miti hii midogo hupandwa katika mipaka ya shamba na kutengeneza fence nzuri sana (perimeter fence) na unapoi prun ndiyo inakuwa malisho (fodders)