Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

Asante sana Mkuu
Nilikuwa nasubiri kwa hamu sana maana nataka kuingiza mpaka 30m kwa mbuzi na kuku
Ila nilikuwa sijui pa kuwapata zaidi ya UG na Kenya

Please naomba kujua bei zake na kama boer wapo pia
Kalahari ni wazuri mno ila nataka kuchanganya


..watafute wahusika ktk namba za simu hapo chini wakupatie bei za mbuzi unaowahitaji.

Nawasalimuni kwa jina la Mungu naomba niwataarifu nyote MAVUNO FARM wamesha leta mbegu za Mbuzi Red kalahare toka south afrika ukihitaji karibu sana 0713 544411 Mwenyekiti TAGOFA. 0713 282 715 MD MAVUNO FARM.
Karibuni sana .
 
mkuu malila, zile mbegu za miti ya malisho ya mbuzi ninazo hapa dar, ukifika nitakupatia au nitampa manundu akupatie, miti hii midogo hupandwa katika mipaka ya shamba na kutengeneza fence nzuri sana (perimeter fence) na unapoi prun ndiyo inakuwa malisho (fodders)
 
Back
Top Bottom