newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,385
- 568
[/QUOTE]Boss wazolako ni zuri linatakiwa kufanywa kazi lakini hapahujatoa maelezo ya kutosha kumvutia mtu tunapenda kujua mahesbu yaununuzi malsho na ukuaji mpka uanze uzalishaji kama ni maziwa ama nyama na pia hao mbuzi unapo wanunua wanakuaw tayari namimba mabakuna jama alichangia hoja katika ushauri flani alifafanua mpaka nikawa na hajayakuianya nanukuu,
Mimi ni mfugaji, nitakushauri kufuga ngombe kwa mchakato ufuatao:
Ujenzi wa banda = Ths 500,000/=
Manunuzi ya Ngombe 5 x Tsh 900,000 = Tsh 4,500,000/=
(Ngombe utawanunua wakiwa na mimba ya miezi 6)
Kuwahudumia ng'ombe kwa miezi mitatu kabla ya production = Tsh 1,500,000/=
(inahusisha mshahara kwa wafanyakazi wawil + chakula + madawa)
Jumla = Tsh 6,500,000/=
Baada ya Miezi 3;
UZALISHAJI:
Ngombe hawa watakuwa wakitoa maziwa si pungufu ya lita 5 kwa asubuhi na jioni kwa kila ng'ombe. Hivyo uzalishaji kwa siku utakuwa lita 10 kwa siku kwa ng'ombe.
MAPATO
Lita 10 x Ng'ombe 5 = lita 50 kwa siku x Tsh 1000 (bei ninayouza mimi hapa) = Tsh 50,000 kwa siku
Mapato kwa mwezi = Tsh 50,000 x 30 = 1,500,000/=
Gharama za uendeshaji kwa mwezi = Tsh 600,000/=
Faida = Tsh 900,000/= kwa mwezi
BAADA YA MIAKA 5:
Kumbuka ng'ombe huzaa kila mwaka hivyo basi baada ya miaka mitano utakuwa na ng'ombe wasiopungua 25. Kipato chako kwa mwezi unaweza kufikia si pungufu Tsh 18,000,000 endapo utakuwa na ngombe jike 20 kati ya hao 25
Asante kwa ushauri mkuu
I believe together we can go.
Wewe ni fisadimimi natafuta ranch kubwa hizo za selikali, nataka kufuga ng'ombe wa maziwa na nyama si chini ya mia tano kwa kuanzia. kama kuna mtu anayeweza kunisaidia namna ya kuzipata anipigie pande hapa. kwahabari ya pesa, si zaidi ya $1 million. asanteni.
Wakuu,
My dream ilikuwa kufuga nguruwe, lakini tangu July 2008 nilianza na kuku wa mayai 500, nikaja 1000, then nikauza wale 500 wa mwanzo, so far business yangu imerudisha capital which was arround 9m. Tangu June 2010 nimeanza kupata Project Profit. Lakini Setup nzima including fixed assets eg Maji, mabanda, solar, nyumba za shamba boys ilikuwa 18m. Kwa hiyo bado 9m ku Break even.
Kwa sasa ninao 1500, production kwa siku ni Trays 37 kwa siku ambapo sales @5,000 per Tray napata 175,000 Kwa Siku
Chakula wanakula kilo 175 - mifuko 3.5 ya Kilo 50 @ 24,000 = 84,000
Madawa , Manpower ni 250,000 kwa mwezi average.
Profit = 175,000 - 84,000 = 91,000 Kwa Siku times 30 days you get = 2,730,000 Tshs - man power & Running cost = 2,480,000/= Kwa Mwezi. (Hii ni cash in hand per month)
Expanstion by June 2011 ni 3 times of this production. and In June i will be selling those kuku mzee ones kwa 5,000/= each so nitapata 5m, which i can use this cash to re invest.
Its a risk business but watch out.
Mkuu Malila, hongera kwa kufuga. Mie nina mpango wa kwenda kufuga wilaya moja huko mkoani Tanga. karibu nawe
mimi natafuta ranch kubwa hizo za selikali, nataka kufuga ng'ombe wa maziwa na nyama si chini ya mia tano kwa kuanzia. kama kuna mtu anayeweza kunisaidia namna ya kuzipata anipigie pande hapa. kwahabari ya pesa, si zaidi ya $1 million. asanteni.
Wewe ni fisadi
Mlila tatizo wana JF wengi hawako serious katika kilimo na ufugaji - May be hawako familiar
sababu wamekulia mijini, sasa unapoongelea kufuga nguruwe, kilimo cha Mitiki, Kilimo cha Mpuga kwa umwagiliaji, ufugaji wa mbuzi wa maziwa & ngombe etc watu hawakuelewi kama inawezekana ukapata pesa hadi Tsh 20m kwa mwezi. Mtu yupo radhi avumile mshahara wa 2m kwa mwezi na gari moja na nyumba ya kupanga kijitonyama hadi anafikia umri wa kustaafu.
Lakini hizi forum zitawaamsha wengi, hakuna haja ya kugombana na bosi wako akupe allowances, allawances zipo shambani. Anyway wachache watakaofuata maoni yako watafaidika sana.
Kuna jamaa utawasikia - "Yaani mi Engineer, Mwansheria mzima nikafuge nguruwe / kuku !! nitake radhi", ha ha ha
mie ni mmoja wa wadau wenye shauku kubwa ya kuendeleza mradi wa ufugaji wa familia yetu na nnatafuta taarifa kama hizi.. nashukuru... ila nahitaji kujua kama ng'be hao wanastawi kattika ukanda wa hali ya hewa ya kitropiki kama maeneo ya ziwa victoria!!Bila kusahau gharama za kuwasafirisha!!:eyeroll2:
AKHSANTE SANA!!:becky::becky: