Kama kuna wanaopenda kufuga wanyama hasa Mbuzi ( wa maziwa,nyama),njooni tuunganishe nguvu tufanye mambo.Inawezekana kabisa tukafuga kwa mafanikio sana. Kila kitu kipo ndani ya uwezo wetu.
I believe together we can go.
Some people talk intelligently, writes sweet stories, and keep on dreaming that by only doing that the Earth will become the Paradise! But Malila you are an exceptional generous Tanzanian, you dream high, work harder and consistently to make your imaginations come true. Congratulations and may the Almighty God bless your noble cause.
malila iv maeneo mkuranga mashamba wanauzaje kwa heka moja?
Kama kuna wanaopenda kufuga wanyama hasa Mbuzi ( wa maziwa,nyama),njooni tuunganishe nguvu tufanye mambo.Inawezekana kabisa tukafuga kwa mafanikio sana. Kila kitu kipo ndani ya uwezo wetu.
I believe together we can go.
Nimependa wazo lako ingawa mimi ni raia mwenye mtaji mdogo, mwenye nia ya kujikita kwenye ujasiliamali, hoja yako inanifaa sana! Je nawezaje kupata nafasi ya kufanya hivyo kwenu?
tembelea mashamba ya mifugo yaliyo karibu nawe upate maelezo ya aina inayokufaa kufuga kulingana na malengo yako .. lakini uwe mvumilivu kwenye foleni au kama hutaki longolongo nenda kwa wafugaji binafsi watakuuzia. Uzuri wa mbuzi wakisasa wanakua haraka na wengi wanazaa watoto 2 mpk 3 kwa mpigo. Changamoto: wabovu sana kwa kuvunjika miguu na kushambuliwa na magonjwa
Me niko dar,mashamba yanapatikana wap ndugu
Me niko dar,mashamba yanapatikana wap ndugu
Asante sana kwa utangulizi mzuri WAPI NAWEZA PATA NA MIMI HAO MBUZI?ok.ok.mimi pia nilikuwa nawatafuta but nimepata mmoja mwenye mimba..juzi juzi tu kimara korogwe, bei zake ni laki na nusu sec wanalishwa kama mbuzi wa kawaida.unatengeneza banda la juu..kama futi mbili kutoka chini..mengine nipm.....
Mkuu hao mbuzi wanapatikana kwa wingi maeneo ya mgeta Morogoro.asante sana kwa utangulizi mzuri WAPI NAWEZA PATA NA MIMI HAO MBUZI?
Maziwa ya mbuzi yana soko?
Aisee asante sana nawahitaji sana ntawasiliana na uncle zangu wako marangu nipate hiyo specie ya israelithanks mkuu.incase mm bado naitaji ukipata pande za mgeta moro nistue, design ya kwangu wanawaita saanen kama sijachemka jina .pia kuna sehemu moja mwika -maring"a kilimanjaro wanao wa aina mbili hao saanen na wale wa mradi wanaitwa mbuzi wa israel..hawa ndio wazuri sana mkuu wanazaaga wawili wawili kwa mzao mmoja.na full kitu maziwa,..kuhusu faida from point of view..yalivyo na faida katika utumiaji utaoona ni hasara kuuza..yanasaidia sana wanaume ktk productions of sparms ukitumia haya hakuna tatizo gobore kutoa risasi finyu .wakati wa kumpigia shem cm kwa ajili kumpata dogo.
Ukitumia kwa muda hata kama ni mzee,unakuwa kama kijana trust me.sec huwezi kupata ugonjwa baridi yabisi.yanaondoa sumu mwilini.impilies to reduce deprression and strees for both man &women.pia ni chakula kizuri ukiyabadili yakiwa mtindi ukatumia kama chakula ..unakunywa nusu saa kila baada ya milo mitatu kwa siku.walenga hapa ni watu wenye matatizo kama saratani ,h.i.v.na related deaseas..napita tu..zipo kama 18 faida.naomba kuwasilisha wakuu!