Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala katika JamiiForums

Status
Not open for further replies.
Hujaweka wazi JF ni shule tosha, sehemu ya pornography hapo ikoje ! kwa sababu kuna kada ya Afya km Madaktari, Nurses, Famasia, Bwana Afya nk, humu ndani wanatufundisha mambo mengi yanayo husiana na via vya uzazi. Mfano Hermaphrodites, Uzazi wa mpango, Cancer ya ziwa, BPH, nk ataambatanisha na picha husika, mbili tatu, hii imekaaje? fafanua! anaweza pigwa ban?
 
Mkuu@Maxence Melo Hongera kwakuweka sheria kali hii inawahusu haswa wanachama wapya wana matusi ya ajabu kejeli na dharau na kuleta ubishi usikuwa na maana yoyote umefanya jambo la maana sana kuweka sheria kali ili watakao kiuka sheria wachukuliwe hatua kali hongera sana Mkuu.@Maxence Melo
 
Kutumia majina halisia lakini lazima uthibitishe kuwa ni majina yako kwa kutupa utambulisho (copy) wa ID yoyote official

Utajuaje kama ni majina yangu halisi au lah, najisajiri kwa jina langu mfano Aliko Mgote... system itanigomea.? itajuaje!

Kama sivyo, nini zaidi zaidi ya majina halisi kinahitajika ili kuverify.?
 
Mambo kadhaa sijaelewa hapa kwenye huu mwongozo;

1. Ina maana signature haipo tena? Kama jibu ndiyo mbona kwenye setting unaoneshwa kuwa hakuna signatories ila mara kwa mara nakuta ile sent from nininini wa kadha wa kadha na mimi siitaki?

2. Kukoleza wino hapo au kulaza miandiko napo sijaelewa hakupo au vipi. Vipi na kubadili maandishi rangi?

3. Hiyo kauli ya kufuta mada au kufunga mjadala bila sababu nayo imekaaje?

4. Utani hapo napo pagumu maana majina yatumikayo humu yenyewe ni kishawishi tosha cha hayo
 
IMEELEWEKA ILA kuna muda inabidi mfanye marekebisho na mapitio ya hii miongozo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…