Kathrada
Member
- May 13, 2020
- 25
- 16
Paragraph ya pili kutoka mwisho imenistua sana
Unawezaje kufuta uzi wa mtu bila kutoa sababu za msingi mkuu!?
Mtu anajua ametenda kosa baada ya kuambiwa lkn pia itaonesha kweli JF kuna demokrasia
Tena bila kutoa onyo vp km uzi ukikosea baadh ya mambo yanayoendelea kwa moderator kwa lengo la kujenga!?
Kumekua na malalamiko mengi ya wanachama kufutiwa nyuz zap bila kupewa maelezo
Nilitegemea hili lingejibiwa vizur badala yake naona ubabe na ujima mwingi
JF tunaambiwa the home of great thinker, free to talk openly. Leo tena magreat thinker mnaleta ubabe wa kimamlaka badala ya hoja
Sichochei uhuni, uandishi usofata maadili kwenye uhariri sina shda kbsa
Shda yangu kwann mfute nyuzi bila kutoa sabbu, member atajifunzaje!? Kwann hata onyo hamtoi!?
Msingi wake nn haswa!? Logic ni nn!?