Mwongozo wa uwakala wa M-pesa na Tigo pesa

Mdadamwema.

Senior Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
156
Reaction score
173
Salaam kwenu wakuu, ninaomba mwongozo wa namna ya kupata uwakala wa mpesa na tigo pesa.
 
Sana tu aisee
Sijawa na capital ya kutosha ila angalau nianze kujifunza njia za kupitia
 
Salaam kwenu wakuu,ninaomba mwongozo wa namna ya kupata uwakala wa mpesa na tigo pesa.
Mimi ninawezesha uwakala wa Halopesa. Utahitajika kuwa na TIN na kitambulisho unavipiga picha unanitumia whatsapp 0624787850. Kupata mitandao mingine tafuta Wakala mkuu wa mtandao husika katika eneo lako
 
Asante mkuu nitakucheck
 
Mimi ninawezesha uwakala wa Halopesa. Utahitajika kuwa na TIN na kitambulisho unavipiga picha unanitumia whatsapp 0624787850. Kupata mitandao mingine tafuta Wakala mkuu wa mtandao husika katika eneo lako
Gharama yake ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom