Mwongozo wa Wanachama wa CHADEMA unaopaswa kufuatwa huu hapa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Instagram media - CID6J3knf24 ( 640 X 640 ).jpg

Hapa ndipo penye kila kitu kuhusu uadilifu wa wanachama .
 
Attachments

  • Instagram media - CID6J3knf24 ( 640 X 640 ).jpg
    Instagram media - CID6J3knf24 ( 640 X 640 ).jpg
    27.6 KB · Views: 1
Mkuu naweza kupata nukuu ya katiba ya Chadema inayoonyesha kamati kuu kuwa na uwezo kuteua wabunge wa viti maalumu!?
Natanguliza shukrani.
ingia kwenye tovuti ya Chadema , kila kitu kimo mle , labda kwa faida yako tu ni kwamba KAMATI KUU ndiyo imepewa mamlaka na wanachama kufanya maamuzi kwa niaba ya chama , japo Mkutano mkuu una mamlaka ya kupinga , lakini kinachoweza kupingwa ni mtu aliyeteuliwa , hakitapingwa kifungu cha katiba , kwa mfano Kamati kuu au Mwenyekiti anaweza kuteua Kiongozi , mfano Katibu Mkuu lakini Mkutano mkuu ukamkataa mteuliwa , sasa hapa Mwenyekiti au Kamati kuu hainyang'anywi mamlaka yake bali yaweza kuleta jina lingine kwenye mkutano mkuu
 
Natoa pongezi kwa Chadema kwa kuwaruhusu wakina Mama HODARI kwenda kuapa,

Ni wazi sasa mmekuwa wazalendo tuendelee na mshikamano huo huo.

Kwa pamoja tutalijenga Taifa.
 
Nilisikia kipindi ikidaiwa Ms wa Nkasi angefutwa ubunge kama angethubutu kuingia Mjengoni. Lakini naona, huyu hapa "YUPO!"~ Makongoro N
 
ingia kwenye tovuti ya Chadema , kila kitu kimo mle , labda kwa faida yako tu ni kwamba KAMATI KUU ndiyo imepewa mamlaka na wanachama kufanya maamuzi kwa niaba ya chama , japo Mkutano mkuu una mamlaka ya kupinga , lakini kinachoweza kupingwa ni mtu aliyeteuliwa , hakitapingwa kifungu cha katiba , kwa mfano Kamati kuu au Mwenyekiti anaweza kuteua Kiongozi , mfano Katibu Mkuu lakini Mkutano mkuu ukamkataa mteuliwa , sasa hapa Mwenyekiti au Kamati kuu hainyang'anywi mamlaka yake bali yaweza kuleta jina lingine kwenye mkutano mkuu
Asante kwa ufafanuzi.

Kwa maelezo mafupi kama nimekuelewa. Hakuna kifungu katika katiba ya chadema kinachoipa mamlaka Kamati kuu kuteua wabunge wa viti maalumu.

Ama kwa maneno mengini katibu mkuu Mnyika ameudanganya umma kwa kusema hao wabunge wa viti maalumu lazima wapitishwe/ teuliwe na kamati kuu ya CHADEMA.
 
Kusoma na kuelewa kuelewa Ni vitu viwili tofauti
 
Asante kwa ufafanuzi.

Kwa maelezo mafupi kama nimekuelewa. Hakuna kifungu katika katiba ya chadema kinachoipa mamlaka Kamati kuu kuteua wabunge wa viti maalumu.

Ama kwa maneno mengini katibu mkuu Mnyika ameudanganya umma kwa kusema hao wabunge wa viti maalumu lazima wapitishwe/ teuliwe na kamati kuu ya CHADEMA.
umeishia darasa la ngapi ?
 
View attachment 1635373

Hapa ndipo penye kila kitu kuhusu uadilifu wa wanachama .
upinzani nchi hii hautakufa kwa sababu hakuna chadema. wala chadema haitakufa kwa kufukuza watu 19. upinzani hauwezi kufa kamwe kwa sababu ccm haina mawazo ya kuongoza nchi. ni hajuza. kizee. haina uwezo wa kufanya lolote mbali na kutumia maguvu na hujuma.
 
Jambo lolote la kura huwezi kulitolea maamuzi kwa hivyo vifungu maana huwezi jua kura zitaamuaje wakati wahusika wanajitetea.
 
Back
Top Bottom