Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La nane.umeishia darasa la ngapi ?
atakayesema hapana maana yake anapingana na katiba ya chamaJambo lolote la kura huwezi kulitolea maamuzi kwa hivyo vifungu maana huwezi jua kura zitaamuaje wakati wahusika wanajitetea.
Yanayopangwa na Mbowe hayawezi kuundiwa maandamano na PolepoleNa huu Uzi wako baada ya wenye chama Chao kuongea hiyo kesho utarudi kuufuta hapa jf.
Maana hafukuzwi mtu hapo Wala kunyang'anywa Ubunge.
Au hujui ya kuwa halima mdee na genge lake ndo walikuwa Frontline kuhakikisha Mr Mwenyekiti anabaki kwenye kiti chake mpaka kina mwambe wakawa wanaitwa madogo na iron lady. Then unategemea Mr mwenyekiti amchukulie hatua Kali iron lady wake tofauti na kuunga juhudi.
Anachokifanya Mwenyekiti ni kulipa fadhila kwa genge la iron lady Ila kwa Akili zenu ndogo wafuasi wa ufipa hamuwezi kuelewa hili.
Ila subiri muda ndo utakuja kusema na kujua Kama hujui.
Unateseka ukiwa wapi?Nikuhakikishie hicho kipengele kesho hakitafanyiwa kazi. gia lazima ibadilishiwe angani