Na huu Uzi wako baada ya wenye chama Chao kuongea hiyo kesho utarudi kuufuta hapa jf.
Maana hafukuzwi mtu hapo Wala kunyang'anywa Ubunge.
Au hujui ya kuwa halima mdee na genge lake ndo walikuwa Frontline kuhakikisha Mr Mwenyekiti anabaki kwenye kiti chake mpaka kina mwambe wakawa wanaitwa madogo na iron lady. Then unategemea Mr mwenyekiti amchukulie hatua Kali iron lady wake tofauti na kuunga juhudi.
Anachokifanya Mwenyekiti ni kulipa fadhila kwa genge la iron lady Ila kwa Akili zenu ndogo wafuasi wa ufipa hamuwezi kuelewa hili.
Ila subiri muda ndo utakuja kusema na kujua Kama hujui.