Prince Mujubu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 340 Reaction score 249 Jan 18, 2017 #1 ASALAM: Naomba kujua jinsi ya kua wakala wa hizi bima kwa mwenye ufahamu wowote naomba anijuze niweze kujitoa kwenye hili dimbwi la wakosa ajira.
ASALAM: Naomba kujua jinsi ya kua wakala wa hizi bima kwa mwenye ufahamu wowote naomba anijuze niweze kujitoa kwenye hili dimbwi la wakosa ajira.
Mr Equalizer JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 611 Reaction score 727 Jan 18, 2017 #2 watakuja wanaojua haya mambo