Mwongozo: Wakala wa bima za vyombo vya moto

Mwongozo: Wakala wa bima za vyombo vya moto

Prince Mujubu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
340
Reaction score
249
ASALAM:

Naomba kujua jinsi ya kua wakala wa hizi bima kwa mwenye ufahamu wowote naomba anijuze niweze kujitoa kwenye hili dimbwi la wakosa ajira.
 
Back
Top Bottom