Hivi mnaelewa maana ya "waombaji" mkopo hapo kuna kupata au kukosa km mimi sasa msitumie hasira wala ghadhabu we kwa nafasi yako angalia utajiendelezaje na elimu ya juu? Pesa zenyewe zimekuwa pesa wenye pesa ndo wanapewa pesa sie akina kayumba akili na ubunifu kichwani ndo ngao yako kujikwamua kiuchumi.