mwuce on da way to dar

mwuce on da way to dar

Heslb is not fair. And will never be fair! Why should we be fair? Lets come together and say This is over by any means i.e peaceful or forceful...!!
 
Nimechaguliwa mwenge na nimekosa mkopo,sasa basi, nitafika kesho mwenge kureport kisha nitatoa msimamo wangu as usual.tutaheshimiana tu nyie subirini tu.
 
Wanafunzi wa chuo cha mwenge kesho wanaelekea dar kuongeza nguvu na kuhakikisha haki inatendeka.

Hivi mnaelewa maana ya "waombaji" mkopo hapo kuna kupata au kukosa km mimi sasa msitumie hasira wala ghadhabu we kwa nafasi yako angalia utajiendelezaje na elimu ya juu? Pesa zenyewe zimekuwa pesa wenye pesa ndo wanapewa pesa sie akina kayumba akili na ubunifu kichwani ndo ngao yako kujikwamua kiuchumi.
 
sasa wakuu nendeni mkawaulize coz mi nilisoma bila mkopo and I remember
 
Back
Top Bottom