My 1month experience in JF

Zuriel_cfc

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
4,092
Reaction score
9,063
Habari za Jumapili wanajamvi...
Nimetimiza mwezi mmoja na cku kadhaa toka nijiunge rasmi na JF. Kiukweli nimejifunza mengi, nimekutana na mengi humu ya kukatisha tamaa, kuumiza, kuvunja moyo hata kufikia kujitoa kwa muda [emoji4]

Ila kikubwa nilichojifunza ni kutokuamini kila kilichomo humu, kutokumuamini yeyote humu na zaidi sana usichukulie serious chochote kinachoendelea humu.

Ingia humu soma story ufurahi ama ujifunze jambo basi. PM ni za kupiga story za uongo na kujisifia maisha unayoishi, unachomiliki basi.

Tofauti na JF niliyokuwa ninaiona wakati nikiwa guest member, JF ya watu wenye akili na upeo wa hali juu, watu wenye mawazo na mitizamo ya hali ya juu, [emoji4] kumbe imejaa waongo, wanafiki na waliotayari kuumiza wengine kwa kivuli cha kutojulikana....

Mwisho ninawashukuru sana kwa kunikaribisha na kunifunza humu, naahidi nimejifunza na nitaendelea kujifunza kwamba JF ni dunia ya kusadikika [emoji4] [emoji4]

Have a good weekend and merry early xmass
 
Kwa maneno yako haya kuna kitu kimekutokea humu jf, hebu weka wazi nini kimekupata maana sidhani mtu bila kukufahamu aje PM kujisifia tu.
 
Pole sana mkuu kwa hayo yaliyokukuta huko kunako chumbani(PM)

Kuwa mvumilivu JF ni mtandao bora wenye kila aina ya huduma unayoitaka ambayo sehemu nyingine ungeweza kuilipa japo senti 5.
 
Kama na wewe sio mmoja ambaye unatumia icho kivuli cha kutojulikana si ungetumia jina lako halisi?
 
kama ulikuja kutafuta mme.mke,mwanamme mwenye nguvu kitandani, mtu mwenye HIV anayetaka mwenza, single mothers wanaotaka wenza basi hapa utakaa sana.hizo ni stori za kujifurahisha hapa JF ila kama ulikuwa na nia ya kupanua uelwa wako katika mambo ya KILIMO, UJASILIAMALI, UJENZI, SIASA,KUTOA STRESS na kubadirishana uzoefu hakuna mahali pengine hapa Tanzania penye jukwaa kama hili na kama hujafanikiwa basi ulikuwa unatafuta hivyo nilivyoorodhesha hapo mwanzo kama Kupata watu wenye mashine kubwa, nguvu za kiume za punda, zengembe kama la kajala, wanawake wanaotaka Serengeti boys hapa unapoteza muda hao unaongea nao wengine inawezekana ni jinsia moja na wewe na wanapambana na vibamia au mabwawa yao
 
Pole.. Bado unapitishwa kwenye tanuru la moto thru JF. Utakapoiva utageuka dhahabu.. Utakuwa wiser, with strong heart and good katika kujenga hoja.
 
Being single - your ID reflects what happened in PM over the past month

That's how u grow up to be double, no longer single[emoji36]
Don't trust anyone , possibly only your shadow.
Welcome again ... Life is what u experience daily.
NB: don't entertain PMs my dear, there are some wild dogs/ foxes herein JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…