My 1month experience in JF

Asante kwa ushauri
 
Yayegemea uko jukwaa gani. Majukwaa ya porojo nyingi ni SIASA, MMU na CHIT CHAT, kwa asilimia ndogo sana majukwaa haya yanakidhi mahitaji yake. Mara nyingi ukiingia majukwaa haya akili iweke nje ya geti la kulog in. Ni kuinjoi tu.
Majukwaa ya inyelligence na mengine yako vizuri.
 
Thank u so much mkuu
 
Ndo maana nikasema, nimejifunza. Mwanzoni nilidhani kwny majukwaa yote kuna great minded lkn kumbe sivyo
 
Wewe unajichanganya na hauoni unajichanganya

Unasema usichukulie serious chochote kinachoendelea humu

Hapo hapo unataka kujifunza yanaoendelea humu

Nimekuuliza swali kule hizo Pms mtu anakupm anaanza kukutumia picha za nyumba zake na salio lake benki au inakuaje?
 
HILO NDIYO UNAGUNDUA LEO!!!WENZAKO TULIYAONA NA NDIYO MAANA USIJIHUSISHE HATA NA SUALA LA KUTAFUTA MWENZI HUMU!WATU NI WAONGO MNO NA MBAYA ZAIDI UWE MWANGALIFU USIJE KUTA UNAMCHUMBIA MAMA YAKO MDOGO!!!
 
HILO NDIYO UNAGUNDUA LEO!!!WENZAKO TULIYAONA NA NDIYO MAANA USIJIHUSISHE HATA NA SUALA LA KUTAFUTA MWENZI HUMU!WATU NI WAONGO MNO NA MBAYA ZAIDI UWE MWANGALIFU USIJE KUTA UNAMCHUMBIA MAMA YAKO MDOGO!!!
Sawa, asante. Nimeelezea uzoefu wangu wa muda mfupi niliokuwa humu mkuu
 
Nimesema nataka kujifunza au nimejifunza?

Pia nimesema PM ni sehemu ya kujieleza ulichonacho, unachomiliki nk. Hiyo ni kwa upande wangu nilichokutana nacho mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…