ager de don
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 621
- 320
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha nikupe tu pole hii ndio jf kikubwa ni umakini tu ndio unaotakiwa uwe nao, mbona me siwapati hao wa kuja pm na kujisifu
Inawezekana aiseeNDUGU YANGU HILI JAMVI LIMEVAMIWA 'IN THE SPIRIT OF FREE SPEECH' KIASI KWAMBA KWA SASA HALINA TOFAUTI NA FB. HIVI SASA NI NADRA SANA KUDADAVUA MAANDIKO MURUA YA NGULI AMBAO NDIYO WALIOTUFANYA SASA TUVUTIWA NA KUINGIA JAMVINI. HIVI SASA NI MAGUFULI! MAGUFULI !MAGUFULI !NA HAKUNA MANTIKI YOYOTE ILE YA WAANDISHI WENGI HUMU NDANI NA HII INANIFANYA NIAMINI KUWA KUTOKANA NA MISONGO YA MAISHA KUNA WENGINE BAADA YA KUTAFUTA SULUHISHO WAO WANATAFUTA WA KUMLAUMU NA HIVI SASA NI MAGUFULI! MAGUFULI!
Nashukuru kwa kunielewa
Huyo sijabahatika kukutana nae
Thank uNadhan we ndo utakuwa na tatiz yani umekuja juzi hapa unaanza kutugeneralize...shame on you
Asante pia, ila si vibaya mtu kueleza alichokiona, una uhuru wa kuelewa unachoelewa[emoji16][emoji16][emoji16] hata mm nimehisi hivyo
Sawa nitaendaNenda huko jf kwangu ndio the best
Asante kwa ushauri, na hicho ndo ninachofanyaUshauri; endelea kujifunza ongeza ujuzi hadi jf ikuzoee na ww uizoee
Mkuu maisha ya jf hayana tofauti na maisha halisi ya jamii yetu, kwa hiyo unachopaswa kutambua in kwamba wewe uishi maisha yako, kwa sababu kila mtu ana umuhimu wake katika jamii husika, kama si muhimu kwako ni muhimu kwa mwingine, so don't ignore anybody. Pia katika real life mtaani unaweza kuchagua rafiki/ company kulingana na mahitajio au matakwa yako, pia humu you can be selective too, inawezekana hoja zangu ukaziona hazifai sawa, Ila Luna mwingine ataona zinafaa, that is how life goes.Habari za Jumapili wanajamvi...
Nimetimiza mwezi mmoja na cku kadhaa toka nijiunge rasmi na JF. Kiukweli nimejifunza mengi, nimekutana na mengi humu ya kukatisha tamaa, kuumiza, kuvunja moyo hata kufikia kujitoa kwa muda [emoji4]
Ila kikubwa nilichojifunza ni kutokuamini kila kilichomo humu, kutokumuamini yeyote humu na zaidi sana usichukulie serious chochote kinachoendelea humu.
Ingia humu soma story ufurahi ama ujifunze jambo basi. PM ni za kupiga story za uongo na kujisifia maisha unayoishi, unachomiliki basi.
Tofauti na JF niliyokuwa ninaiona wakati nikiwa guest member, JF ya watu wenye akili na upeo wa hali juu, watu wenye mawazo na mitizamo ya hali ya juu, [emoji4] kumbe imejaa waongo, wanafiki na waliotayari kuumiza wengine kwa kivuli cha kutojulikana....
Mwisho ninawashukuru sana kwa kunikaribisha na kunifunza humu, naahidi nimejifunza na nitaendelea kujifunza kwamba JF ni dunia ya kusadikika [emoji4] [emoji4]
Have a good weekend and merry early xmass
Nashukuru sana kwa udadavuzi huu mkuuMkuu maisha ya jf hayana tofauti na maisha halisi ya jamii yetu, kwa hiyo unachopaswa kutambua in kwamba wewe uishi maisha yako, kwa sababu kila mtu ana umuhimu wake katika jamii husika, kama si muhimu kwako ni muhimu kwa mwingine, so don't ignore anybody. Pia katika real life mtaani unaweza kuchagua rafiki/ company kulingana na mahitajio au matakwa yako, pia humu you can be selective too, inawezekana hoja zangu ukaziona hazifai sawa, Ila Luna mwingine ataona zinafaa, that is how life goes.
Poa, vilevile tambua kuwa duniani hatuwezi kufanana kabisa kiumri, kimtazamo, kimaadili, kimawazo, kiuchumi, uwezo wa kujieleza, decision making n.kNashukuru sana kwa udadavuzi huu mkuu
Wakija tena waambie wakuje na pm kwangu kujisifia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wee hujawahi kutana na mabalaa huko pyem sista[emoji87] [emoji87]Hahahaaa!! Kipi kimekukuta?