My 1month experience in JF

My 1month experience in JF

JF ni kila kitu. Kama alivyosema mleta uzi, uongo upo, umbea upo, matusi yapo nk lakini pia elimu nzuri tu ipo, misaada ipo, marafiki wapo, stress free corner ndo penyewe, ni wewe tu kuchambua na kupima yepi yanakufaa. Mimi nikichoka kwa shughuli zangu naingia JF kupata kiburudisho
Asante kwa kunielewa mkuu
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Mkuu kama kuna baya lilikupata,usijali.vumilia na songa mbele.kumbuka wimbo wa neema by msondo ngoma.hata pacha hutokea kutoelewana
 
Wee hujawahi kutana na mabalaa huko pyem sista[emoji87] [emoji87]
Mi nashangaa hamnitumii mlivyo na upendeleo!! Mnawatumia wengine hadi wanalalamika khaaah!!!
 
Mi nashangaa hamnitumii mlivyo na upendeleo!! Mnawatumia wengine hadi wanalalamika khaaah!!!
Hahaaaa mfundisheni kuloki mwenzeni, maneno mazuri ya mabazazi yanamchanganya
 
Naamini wapo marafiki ambao someone can call them friends. I have heard some member narrating their good experiences with JF.
 
mi nimeanza kutembelea jf tangu 2011 yaan ilikuwa bomba ni balaa ila saivi sijui watoto ndio wamekuwa wengi hatakufanya watu wazima wakae kimya
 
Back
Top Bottom