NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
Sio wote mkuu Wengine Wana 20something TU Lakini wanachagua misosiUkiona unaanza kuchagua vyakula, ujue umri umekutupa mkono..
Hivi wewe mdada ni daktari?Your body gets enough sugar from carbohydrates, ugali, rice, chapati, pasta etc. These foods are enough monosaccharides needed for metabolism.
From 1s January 2019 sugar will be a new word in my shopping list. I have tried tea and coffe without sugar, it’s very manageable especially with herbal teas and black coffee.
View attachment 977991
HahahahI wish i could be her
Sorry madam, are you nutrient.?Punguza sana lakini unahitaji chumvi kidogo kwa moyo kusukuma damu. Tegemea ili ya mpishi tu.
So mwala nini haswa kama mbadala mkuu?..Sisi wenzako tuliacha toka mwaka jana. Vyote ubwabwa, dona na chapi tunakutana navyo kwenye shughuli za misiba tu kwa sababu huku kwetu kwa mnyaamani sukali huchanganyiwa jikoni.
😂😂😂Niliacha kitambo matumizi ya sukari kwa minaajil ya kuhifadhi nguvu kidogo nilizobaki nazo.... ili wasipate sbb ya kunisaidia kwa wife
✔✔✔nimeanza kutumia mdalasini baada ya majani ya chai,asili badala ya sukari.Kahawa niliacha kama miaka 4 iliyopita,,kwasasa jioni nakula matunda badala ya heavy foods (ugali,wali,nyama and the like)
So mwala nini haswa kama mbadala mkuu?..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi we mchaga nani kakufundisha uchochezi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna wengine tukiona neno "love" ung'eng'e unapanda ghafla.
Aisee... Ni kama nimekuelewa hivi, lakini kwa namna ambavyo nimezoea kula vitu nzito nzito naona kwa kwa kula hizi mboga mboga matunda na maziwa pekee ni kama ntakuwa nahisi njaa kila baada ya saa moja na nusu.. HahahahNakula mboga za majani aina mbalimbali asubuhi , mchana na jioni , mayai , majarage, nyama , matunda, maziwa na vitu kama karanga, maboga na mbegu zake, koroshow , almond.
Ili kutoruhusu matamanio nabeba chakula napoelekea kazini. Maana mtaani ni changamoto kubwa.
Na mazoezi mepesi atleast 20 minutes, kukimbia 5 to 6 km atleast kwa wiki mara moja.
Pia chai natumia masala za kienyeji siweki concetrate kiasi naweza kunywa bila sukari.
Problem mwanzo kama ulizoea mihogo au chapati nzito unaweza usishibe kila ikila, hivyo unaweza kula matunda kama matango.
Anzia matunda kidogo ukiongezea na chakula, kadiri siku zinavyokwenda punguza chakula ongeza matunda.Aisee... Ni kama nimekuelewa hivi, lakini kwa namna ambavyo nimezoea kula vitu nzito nzito naona kwa kwa kula hizi mboga mboga matunda na maziwa pekee ni kama ntakuwa nahisi njaa kila baada ya saa moja na nusu.. Hahahah
Sawasawa..Anzia matunda kidogo ukiongezea na chakula, kadiri siku zinavyokwenda punguza chakula ongeza matunda.
Kwahiyo umri haujakutupa mkono? Safi..Bibi yangu Mungu amrehemu, alisema ni kheri uanze kupunguza ulaji wa chakula flani kuliko ungoje daktari akuambie acha.
Nishawishi sio, so yoy as a "doctor" you advice us to for sugar because it's better?Sijui hizi imani za honey is better than sugar huwa mnazipata wapi
Coffee also makes teeth to turn yellow!I once met a mother who was complaining about her toddlers teeth decay. She said I don’t give her sugar things, she eats healthy meals. I only use honey for her porridge and toast.
She had forgotten that honey on toast can cause teeth decay too. Honey is monosaccharide
Uache bangi halafu utumie nini ? Dah bangi sijawahi kufikiria kuiachaResolution yangu kwa mwaka 2019 ni kuacha bangi na sigara, ee mwenyezi Mungu nisaidie!