mojoki
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 1,313
- 290
Katika songi Jipya la Diamond " Mwisho anamalizia na msemo "Watuache Tulale" Neno ambalo Penny alimwambia Wema by the time wanaongelea issue ya kurekodiwa
The guy knows how to Apply real life events kwenye masongi yake nadhan hiyo ndio sababu yanakua na hisia za kutosha
My take: Diamond anastahili dem mwenye changamoto ( wema type kind of
Lady)...huko atapata mistari ya kutosha na kutuandikia masongi makali zaidi...