Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,725
- 21,818
Asante Hashpower7113
Wanaume wanapokuwa na nia ovu ndani ya vichwa vyao, huwapamba hawa viumbe wa jamii nyingine kwa maneno matamu sana na kuonesha kujali ili tu kukidhi mahitaji ya 'vichwa' vyao vingine. Ni matumaini yangu mtoa siredi huna nia ovu na bbade! Jus kiddin
HBD!