My bbade is plus one today and I just want her to know she is cherished.

My bbade is plus one today and I just want her to know she is cherished.

Walahi my dada eti saa hii ndio najua kua jana ilikua besidei yako!![emoji27] [emoji27]
Happy birthday to you Sister Mungu akujalie maisha yenye heri na fanaka duniani na mbinguni.

Ila naww mchoyo hata Kunikaribisha

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
amekuwa busy msamehe tu
 
Wanaume wanapokuwa na nia ovu ndani ya vichwa vyao, huwapamba hawa viumbe wa jamii nyingine kwa maneno matamu sana na kuonesha kujali ili tu kukidhi mahitaji ya 'vichwa' vyao vingine. Ni matumaini yangu mtoa siredi huna nia ovu na bbade! Jus kiddin

HBD!

Bervy nia yangu ovu ilitimia kweli? [emoji2957]
 
Back
Top Bottom