My best gospel song ever

nq

nqubeko mbatha ndo ameifikisha joyous cerebration pale ilipo yani........
jamaa yuko vizuri hatar.....
jc wanadogo wao MD anaitwa siyanqoba(siya)....nae yuko vizuri achaaaa
Yes Siya nadhani Nqubeko mwenyewe ndo alimpeleka JC na nqubeko ndio aliye pendekeza Siya awe MD.kipind anasepa
Alipo ondoka Nqubeko nilidhani JC ndo inapotea ila ilivo toka JC 17 nikasema we all need changes sometimes. Maana JC 17,ilikuwa bomba zaidi, Siya mzuri naye
Ila na mrate Nqubeko juu sana ya Siya.
Siya ana mdogo wake anaitwa Bheka anagonga base guitar hatari sanaaa, japo kwa sasa kasha ondoka JC
 
bwana mtumishi yule dogo bheka...alipiga vitu ktk sebebutwa,.lekker smakie...si mchezo
ila ktk album zao zooooote jc....jc17 walitisha....
kila nyimbo ni daaaahhhh hatari yaniiii....japo siya anajitahd ila mbatha ni kama uliyosema hatari sana yule
music anaujua......
 
kuna aliecheki spirit of praise6???????
South hawa jamaa gospel mziki wako nxt level yaniiiii.......
Joyous cerebration album yao ya 22(jc22) wanaenda kurecod live dallas to the potters house kwa TD Jakes......
south ni nxt level
Spirt of praise 6 ukiwa itunes unachek album nzima lakin kwa siye tusio na itunes mpaka wa i release kwenye CD, nimeshaweka wimbo mmoja hapo tayari wa Neyi Zimu.
Nadhani ni JC 21,mwaka huu
Yes ndani ya the Potter's House
 
nachukia navyoona sie TZ tumeng"ang"ana na mamiziki ya kurekodi ya kompyuta yasiyo namvuto...........
ukimtoa lissu na angel benad,bomby jonson
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Bongo hatujafika level za kurekod live halafu ikawa quality nzuri, pia hatuna Kumbi.
Ki ujumla wasanii wa bongo wakirekod live wanaishia kunikera, pia naona wengi wanataka ku europeanize muziki wako. Ki ujumla wengi siwapendi, uzungu mwingi. Ndio maana nawapenda south, mkuu African songs nzuri sana zikipata wataalam wake
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa wewe kweli unafuatilia JC, na Sebebutwa ilinyongwa base flan hivi next level.
Ujue JC 17 ilikuwa ndo transition waliondoka waimbaji wengi wa zamani kina zodwa, kina tebello, Ntokozo, kina Sipho Manqele, kina Uche, na watu wengi walijua jamaa ndo wamepotea , so ilibidi wakaze na kweli walitoa the best JC na ndio hawa wapya kina Sibussiso, Given Mabena, Xolile Mcwango etc waliiingia
Ilikuwa ni fantastic transition
 
yeap ni sahihii.....ila hatuwezi kumove direct to the highest development....slowly...wasanii wakirecord live maproducer wetu watabadilika kutokana na mazingira....john lissu anajitahd sanaaa ila hakuna anayecompete nae...inafika kipindi lissu anaonekana kama anafanya mziki wa maajabuajabu yani.....yaani ni yeye tu wengine wamekalia madrum ya kwenye kompyuta.....nakereka sana na mamizki yasiyo na radha yaniiiii.actually Music ndo my life....wasaniii wetu hawataki kuendana na mazingira yani....ni aina fulani ya mziki wa kizamani sanaaaa...ukiangalia wenzetu,.ghana,.nigeria,.SA wapo level za kimataifa kutokana na aina ya music wanayofanya yani...na kujulikana hata inernational level.....ni nani wa kubadilisha hili dubwana letu kuleta mantiki nzuri ya music,.and when???
tutasupport wenzetu hadi lini,.ila hatuna namna tz hawana jipya...........
 
exactly...bt JC ni kama chuo cha music unajua....
walivyoondoka kna zodwa mahlangu &etc nlijua ingeyumba bt sio sana...coz nawajua vzr sana jc mgt yao huwa iko more than good ktk planning...so nlikaa mkao wa kula kwa wonders zao as usual
 
yeap ni sahihii.....
tutasupport wenzetu hadi lini,.ila hatuna namna tz hawana jipya...........
Inaanza na wewe jiunge na magroup ya Music ata uwe mshauri tuu, kama usha yaona hayo unaweza kiwashauri watu waka fika mbali, mawazo ya watu kama wewe yanahitajika kaka.
Otherwise itabid tusubiri, umemsifia sana John Lisu ntamfuatilia maana ni kama simjui tuu najua nyimbo zake chache sana( i think hazifiki 3)
 
Yap Nqubeko ndo aliyemleta Siya Mtethwa pale jc baada ya kuanza kufikiria kuondoka coz wamesoma wote KNZ yaani kwa zulu natal university wana bachelor ya music wale jamaa sahv nqubeko kashachukua hadi masters na wanaheshimika sana na mpaka wale top gospel producers duniani kama kevin bond aaron lindsey etc
 
Tatizo la bongo ni shule kaka na identity ukikosa hivyo utaishia kucopy tu ndo mana wasouth wanapiga jazz lakini wanaifanya inakuwa afri jazz wanachanganya na ladha yao
 
Jc sahv bekha mtethwa hayupo sahv anafanya kama solo artist ametoa album yake yule drummer wa spirit of praise pia themba masina nae ametoa album yake pia md wao bongane nkosi ametoka sahv kuna jamaa mwingine mi hawa jamaa ni marafiki zangu sana fb na insta ndo mana najua sana mambo yao hata wale jamaa wa krystaal wapo vizuri sana
 
Lauren Daigle anakuja juu kwenye worship and praise, katoa mpya mbili kali sana, sikiliza mojawapo inaitwa FIRST....inakuambia before I bring my need I will my heart...before I lift my cares, I will my arms....endelea.
Yan huyu mwanadada ni hapana ...she has good voice
 
Niliskitika nilipo ona themba kaondoka, lakini nilifurahia pia kuwa watu wana badilika pia.
Bheka mzee wa super sound kwenye base Jc nahisi kama walimuacha mapema sana.
 
Nilikuwa na dream ya kuwaleta jc hapa bongo bado nafanya research kama italipa au la hela yao ndefu sana kuwaleta mana wale jamaa inabidi uwe na sound ya maana
Asee fanya mpango bhana mashabiki mbona tuko wengi tuu mkuu. Pia hongera kwa kuwa unawasiliana na hao jamaa
 
Tatizo la bongo ni shule kaka na identity ukikosa hivyo utaishia kucopy tu ndo mana wasouth wanapiga jazz lakini wanaifanya inakuwa afri jazz wanachanganya na ladha yao
Daaah
Sasa kuna sku nikiaskia yule dogo wa dube brothers mdogo tuu ila tayari anapiga shule ya muziki , nikasema sasa mpaka akakue itakuwaje, sisi huku kweli elim inatuangusha ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…