My best gospel song ever

My best gospel song ever

The way you father me wa Elijah Ojelade toka Nigeria, ni bonge la worship song.
 
Fungua Malango ya mbingu inyesheeee.... Kachanganya kingereza na kiswahili.. Wameimba kama kwaya ivii... Sijui waimbaji ila naupenda sana huu wimbo... Anawajua tafadhali aniambie
 
Mimi huwa naona gospel za kiafrika zime simama, utakuta wimbo si uelewi ila naukubali tuu
[emoji1]
Au hata mwafrika akiimba ndo namuelewa kuliko mzungu

Joyous Celebration-Lord i can feel

Huyu jamaa yuko vzr
 
Fungua Malango ya mbingu inyesheeee.... Kachanganya kingereza na kiswahili.. Wameimba kama kwaya ivii... Sijui waimbaji ila naupenda sana huu wimbo... Anawajua tafadhali aniambie
wameimba wengi kuna krystaal afu pia nadhani sowers kama sijakosea
 
Mkuu Asante sana aise kwa nyimbo ulizonitumia ila hawa jamaa mbona wanaimba vizuri sana kiswahili utadhani wamekaa bongo ila sisi wenye lugha hii tunashindwa kuitumia vizuri aise Mungu akubariki sana
 
Hahahahaa hao ni watu wa drc so kiswahili wanakijua vizuri tu afu huwa wanakuja sana bongo afu hata kule canada walipo waswahili wengi tu mmoja wapo anaitwa Aliston Lwamba ameoa mtanzania
 
Yap yupo yeye jabu hlongwane na lindelani mkhize pia alikuwepo marehemu vuyo mokoena
Vuyo aliniuma sana mkuu
Nakumbuka alikuwa rafiki ake sana wa Jabu. Hahah nakumbuka kuna jamaa aliniambia wao walidhani vuyo ana toka na rebeka malope tena alinitel juz juz tuu

Joyous 11,jesu ke mmolki nikiuchek huu wimbo namkumbuka sana Vuyo RIP
 
Yap one of the legends in SA gospel industry
 
Mwenye audio kali za gospel naomba anitumie whatsapp 0714883861
 
Back
Top Bottom