My best gospel song ever

Kibongo bongo napenda kuwasikiliza Kurasini DSA choir

Kiafrica nampenda Rabecca Malope na wimbo wa Joe Praizer unaitwa Mighty God

Kimbele naupenda sana wimbo wa Above all wa Lenny Leblanc
 
unahamasisha
 
hapa home kuna mdada anaitwa angel benard,.na john lissu,...wanajua sanaaaaaaaa
hawa wanaendana na market ya gospel music kisasa zaidi.......
kwa africa zimbabwe na south wanajua sana
 
Hizo gospel zizielewi ila hapa bongo namkubali Mnene Makweta na nyimbo zake kama vile

Umeshinda.
Injili kwa vina.
Natembea na Yesu.
Shujaa wa imani.
Tungeokokaje?
Tumika kijana.
Wanapendeza.
Madoamadoa aliomshirikisha Masanja Mkandamizaji. Na nyinginezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…