My best gospel song ever

My best gospel song ever

Mkuuu mimi huwa sisikilizi mizki tofauti na ya gospel so nawajua wengi sana wa south na dunia lwa ujumla kwa marekani mbali ya kirk franklin na Donnie kuna marvin sapp kuna israel houghton kuna tyler tibbet kuna tasha cobbs kuna cece winans kuna nicole kuna juanitha yani list ni ndefu kwa south kuna hawa spirit of praise wananikosha sana kuna omega kuna kgotso kuna sfiso yani wamejaaa
Safi sana mkuu, believe in Jesus
 
Mimi huwa naona gospel za kiafrika zime simama, utakuta wimbo si uelewi ila naukubali tuu
[emoji1]
Au hata mwafrika akiimba ndo namuelewa kuliko mzungu

Joyous Celebration-Lord i can feel

I like joyous celebration
Mimi huwa naona gospel za kiafrika zime simama, utakuta wimbo si uelewi ila naukubali tuu
[emoji1]
Au hata mwafrika akiimba ndo namuelewa kuliko mzungu

Joyous Celebration-Lord i can feel
 
wakuu kuna album ya jamaa anaitwa nqubeko mbatha hatari sana alikuwa music director wa joyous celebration pia kuna mtu anaitwa vashawn mitchell aliyeimba nobody greater ametoa album kafanya live south africa inaitwa secret place kuna wimbo kapiga na benjamin dube mtamu sana unaitwa siyakudumisa
Nqubeko ni bonge ya MD nadhani hata Ntokozo mambo yake yana nyooka kwa sababu ya effort za uyu bwana.
Vashawn cmjui lakin ntamtafuta
 
Haha kumbe tuko wengi
music connects us
Hatuelewi kinacho imbwa moja kwa moja ila tumo tuuu[emoji1]
Ha ha we acha tu nina ka list language
1.Joel mofeleng.
2.zaza na wengine yaani ni show za kufa mtu.

Yaani najitahidi kukua spiritually. Si unajua ujana bila mungu ni bure. Maisha yamebadilika sana sasahivi
 
Joe ni mkubali kwenye spirit of praise 5 , halafu naona wote na Zaza hawaja tajwa kwenye spirit of praise 6, cjui nini shda
Zaza napenda sauti yake so powerful voice.
Nimekusoma naona unaenda vzuri
 
Haha kumbe tuko wengi
music connects us
Hatuelewi kinacho imbwa moja kwa moja ila tumo tuuu[emoji1]
Solly anajisemeaga kwenye wimbo wa Obrigado, "....I may not understand it, but I still feel it" and that's what happens to me when am listening South African Gospel songs!

They are really blessed with beautiful voices and they compose touching songs!
 
Solly anajisemeaga kwenye wimbo wa Obrigado, "....I may not understand it but I still feel it" and that's what happens to me when am listening South African Gospel songs!

They are really blessed with beautiful voices and they compose touching songs!
Ha ha mie napenda na dress code yako. Yaaani we acha tu.
 
Back
Top Bottom