Sure! They are amazing!Ha ha mie napenda na dress code yako. Yaaani we acha tu.
In my list lazima Ron Kenoly na Jaye Thomas wawepo. Pia Ray BoltzOpen heaven-Hillsong
God is able-Hillsong
I surrender-Hillsong
Lord I need you-Matt Maher
Creator King-Don Moen
Made new-Lincoln Brewster
Washed by the water-Needtobreathe
He knows my name-Fransesca Battistelli
I smile-Kirk Franklin
Breathe-Oslo gospel choir
Shoulders-For King And Country
Jamani mie sio mchoyo,hiyo hapo playlist yangu nasikiliza hapa taratiibu naelekea home.
Tupeane hizo playlist wakuu.
Originally it was done by the legendary Jim Reeves!Mkuu hizi lyrics zinafanana sana na wimbo fulani wa Jim Reeves
Now you are talking...people should know about Ron Kenoly (PhD). Apart from being very talented, pia kasomea music kwa kiwango cha PhD.Hao nilikuambia vionjo na mahadhi vinafanana na hao uliowataja besides don moen alikuwa music director wa ron kenoly
yap ni doctor jamaa anajua sana afu huwezi amini before alipata kansa ya koo Mungu akamponya ndo kuingia ktk uimbajiNow you are talking...people should know about Ron Kenoly (PhD). Apart from being very talented, pia kasomea music kwa kiwango cha PhD.
Jamaa ni worldwide legend, waimbaji wengi wanamkubali...he is talented both kwenye praise and worship.yap ni doctor jamaa anajua sana afu huwezi amini before alipata kansa ya koo Mungu akamponya ndo kuingia ktk uimbaji
Ha haSure! They are amazing!
Mbona umecheka Kapyungu? Hilo jina lako liko fulani hivi amazing [emoji2][emoji2][emoji2]Ha ha
Mh ngojea ninyamaze tuMbona umecheka Kapyungu? Hilo jina lako liko fulani hivi amazing [emoji2][emoji2][emoji2]
Darlene baada ya kuondoka nikajua Hillsong itayumba ila ndo wanabamba zaidi..Sim yangu ina nyimbo za hillsong tu, yani nabarikiwa sana! Nimepakua kabisa app yao ya lyrics yani raha tupu.
Hawa hillsong naona wanasifiwa sana hapa. Ngojea nitafute masongi yao[emoji5] [emoji5]Darlene baada ya kuondoka nikajua Hillsong itayumba ila ndo wanabamba zaidi..
Mkuu ni Hlengiwe Mulahaba km sikosei"Let your living waters flow over my soul, let your Holy Spirit come and take control in every situation that has troubled my mind all my cares and burdens onto you I roll......"
"All things are possible" by women of faith nazielewa sana izi
all I need is u Lord ukipigwa hata kama nakula dona maharage yasiyoungwa najihis kama nakula msos wa nguvuHillsongs nawakubali sana mkuu hasa ule wa Man of sorrow,You take me high,All i need is u Lorld hizi nyimbo nikizisikiliza huwa zinanibarki sana
umenikosha hapo na ule my God is ready to save,pia lissu na shusho and my alltime tumain choir ya enzi za tisin na albam yao ya shangilien na pia wale ulyankulu choir wa miaka ile na wimbo wao wa samson mnadhiriall I need is u Lord ukipigwa hata kama nakula dona maharage yasiyoungwa najihis kama nakula msos wa nguvu
Hahahaha duuu je ule wa kuna jambo gani ktk uyahudi na dunia yote watu wanafurahi unaukumbuka?umenikosha hapo na ule my God is ready to save,pia lissu na shusho and my alltime tumain choir ya enzi za tisin na albam yao ya shangilien na pia wale ulyankulu choir wa miaka ile na wimbo wao wa samson mnadhiri