My best gospel song ever

My best gospel song ever

Gospel za wazungu huwa sizielewi kishenzi yaan

Nampenda kirk Franklin na donnie Mckurklin.

Ila zaid napenda South African Songs hapo ndio patamu
Kirk napenda my life is in ur hand MCklurkin ni hatari yule jamaa anaimba sana only ur holy i will sing we fall down etc kwa south wapo kibao kina solly keke dube joyous zaza sephuma etc
 
Kirk napenda my life is in ur hand MCklurkin ni hatari yule jamaa anaimba sana only ur holy i will sing we fall down etc kwa south wapo kibao kina solly keke dube joyous zaza sephuma etc
Ndugu umenikosha wewe kweli unaujua muziki wa SA hadi Judoth Sephuma!!! Hahaha, nimefurahi kukufahamu

Kirk Franklin-imagen me
 
Mkuuu mimi huwa sisikilizi mizki tofauti na ya gospel so nawajua wengi sana wa south na dunia lwa ujumla kwa marekani mbali ya kirk franklin na Donnie kuna marvin sapp kuna israel houghton kuna tyler tibbet kuna tasha cobbs kuna cece winans kuna nicole kuna juanitha yani list ni ndefu kwa south kuna hawa spirit of praise wananikosha sana kuna omega kuna kgotso kuna sfiso yani wamejaaa
 
Hapo sijamtaja fred hammond,kuna jamaa kaimba nobody greater jina nimesahau kwa group nje nawapenda sana hillsong irresistible,ur presence is heaven,oceans will part,etc
 
Mkuuu mimi huwa sisikilizi mizki tofauti na ya gospel so nawajua wengi sana wa south na dunia lwa ujumla kwa marekani mbali ya kirk franklin na Donnie kuna marvin sapp kuna israel houghton kuna tyler tibbet kuna tasha cobbs kuna cece winans kuna nicole kuna juanitha yani list ni ndefu kwa south kuna hawa spirit of praise wananikosha sana kuna omega kuna kgotso kuna sfiso yani wamejaaa

Heshima kwako
Dr Juanita Bynum i think, she z grt nampenda sana.
 
"Let your living waters flow over my soul, let your Holy Spirit come and take control in every situation that has troubled my mind all my cares and burdens onto you I roll......"
"All things are possible" by women of faith nazielewa sana izi
Naupenda sana huo wimbo "LeT your living water flow over my Soul ......
I roll my family. I roll my friends, I roll my marriage onto you Lord

Since miaka ya 90 had leo huu wimbo Huwa unanibarik sanaaaa
 
Back
Top Bottom