my birthday

my birthday

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Posts
4,118
Reaction score
1,970
Here is my birthday,nawashukuru nyote!
 
Hongera sana kiongozi wetu Mayenga!
Nashukuru kwambaulizaliwa siku kamaya leo, maana ni mwanzo mpya wa mapambano!
Hongera sana, na usherekee kwa amani na furaha..
Mjumuiko ni wapi eti?
 
happy bday kiongozi
Na wewe ya kwako lini?
Unakatika mwaka sasa hatujasikia lolote, zawadi zetu zinaekspaya bana!
Kama vipi nenda King'ori ukaulizie ulizaliwa lini,... huh!
 
Hongera sana kiongozi wetu Mayenga!
Nashukuru kwambaulizaliwa siku kamaya leo, maana ni mwanzo mpya wa mapambano!
Hongera sana, na usherekee kwa amani na furaha..
Mjumuiko ni wapi eti?

Mjumuiko ni Kanisani jioni,kwenda kumshukuru Mungu,Karibu!
 
Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa.
nakutakia heri na fanaka. Uishi miaka mingi upate watoto wengi waizunguke meza yako.

Nampongeza mama yako...angechelewa kidogo ungezaliwa tarehe moja na CCM....too bad!
 
happy-birthday.jpg
 
Na wewe ya kwako lini?
Unakatika mwaka sasa hatujasikia lolote, zawadi zetu zinaekspaya bana!
Kama vipi nenda King'ori ukaulizie ulizaliwa lini,... huh!

nimeuliza uliza sana naambiwa ilikuwa kipindi cha nzige!no specific date,,,,lol!bora hata ungekuwa na hiyo zawadi!ulivyo mchoyo........
 
Happy Birthday Mayenga mungu akupe maisha meama na marefu
 
Happy birthday dear friend, am wishing you joyfull life. And may the power of God be with you forever.
 
Happy Birthday Mayenga.Mungu akujalie miaka mingi yenye furaha na amani
 
Una miaka mingapi? Anyway it doesnt matter... uongezewe miaka mingine kama uliyonayo sasa hivi mara nne
 
Happy Birthday Mayenga.....long live!!!😛opcorn:
 
Back
Top Bottom