my book

my book

mdindile

Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
55
Reaction score
4
natafuta sponsor ili kupublish ma book plz....kitabu kimepitiwa tayari na profesa wangu na ameshauri kinaweza saidia sana ktk mitaala ya elimu tz....ni kitabu kizuri kwa kweli...naomba ushauri...ni kitabu changu cha kwanza hivyo mie mgeni kwenye mambo ya publication, market, distribution etc. Am real-deal serious...tuwasiliane 0759376213
 
Dah! Kazi bado ipo sana, hii approach wewe unaiona iko sahihi?!!!! Kuna kitu hakiko sahihi vichwani mwetu sisi vijana wasomi wa sIku hizi, sijui ni mfumo wa elimu ndiyo umetuvuruga, au tumevurugwa na mambo mengine tu, WE DON'T SOUND AND ACT LIKE PROFESSIONALS!
 
Back
Top Bottom