My brothers and Sisters, it is really painful

My brothers and Sisters, it is really painful

Mkuu sio sawa hii pia nashauri kupata full information kabla ya comment, huyu binti hakuwa kwenye maandamano, then kauawa bahati mbaya kweli? Mbona vyama vingine watu wasiuawe bahati mbaya
Kibinadamu sio sawa siasa au madaraka yanapeleka watu pabaya sijui watakufa navyo??? Au wataishi milele
Poleni wafiwa
Bahati mbaya tuu hii, angekua na nia ovu angewajeruhi hata kuwaua waandamanaji!
Inasemekana wakati akipiga risasi hewani waandamanaji wakawa wanarusha mawe ktk harakati za kukwepa ndio kayumbisha silaha yake
 
Back
Top Bottom