Mkuu sio sawa hii pia nashauri kupata full information kabla ya comment, huyu binti hakuwa kwenye maandamano, then kauawa bahati mbaya kweli? Mbona vyama vingine watu wasiuawe bahati mbaya
Kibinadamu sio sawa siasa au madaraka yanapeleka watu pabaya sijui watakufa navyo??? Au wataishi milele
Poleni wafiwa