Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
-
- #21
Jamani,,,,nawatakia kila la kheri wapendwaMimi pia, kuna mtu unatamani akupende kama hivi lakini mmh
😅😅😅 nani sasa hapa unamtakia kheri? Kwa upande wangu mambo ni hovyo. Napenda nisipopendwaJamani,,,,nawatakia kila la kheri wapendwa
Kisa cha kutanuka moyo ni nini,,nimeona nifunguke😂😂Ni mwendo wa kupandishiana nyuzi tu😂
Brown shuga tunaomba ajibu kwa uzi pia.
Mbona ajafunga pm? Ebu zama huko ukamuelezee hisia zako au wewe hutaki hela za mtumishi wa serikali😎ephen_ neno moja kwake huyo brown sugar
Wewe na huyo uliemtag😅😅😅 nani sasa hapa unamtakia kheri? Kwa upande wangu mambo ni hovyo. Napenda nisipopendwa
Nampenda yeye tu yaan,,hela atatumia za kwanguMbona ajafunga pm? Ebu zama huko ukamuelezee hisia zako au wewe hutaki hela za mtumishi wa serikali😎
Nenda pm sasa au nimuite?😂Nampenda yeye tu yaan,,hela atatumia za kwangu
Sijamtag mtuWewe na huyo uliemtag
yaani acha tulie tu kwakwelMimi pia, kuna mtu unatamani akupende kama hivi lakini mmh
Always pm yake imefungwa,,,hata wakati ambao nilimuhitaji nilikuwa namwambia then anafunguaNenda pm sasa au nimuite?😂
Sorry ulimkoti huyo bidadaSijamtag mtu
Jaman pole mpendwa,,ipo siku uta smile trust meyaani acha tulie tu kwakwel
Amen,, mbuzi zote zisinisogelee😕😂😂Jaman pole mpendwa,,ipo siku uta smile trust me
Ndio mimi my lavu, ile ni id yangu nyingine.....tuhamishie mapenzi yetu kwenye id hii😂😂 usije kunipeperushia kichuna wangu aisee