My celebrity wa 1990s wapo wapi

My celebrity wa 1990s wapo wapi

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
Baraka shelukindo,saidi janguo,mariam janguo,mnomba,chris fabi,neema helela,Franco mtui,kibacha,hija shaha,Alex shaba,Omar mandari, ntagazwa quizella,kelvin twisa,chacha,msiagi,Elizabeth mkanga ,devota shaba,.
 
Kevin yupo Airte wanamuita bwana mapesa,nadhani anasimamia kitengo cha biashara,ila hawa niliowabold nao ni macelebrity..??Mbona nimesoma nao na ninawajua vizuri na sikuuona huo ucelebrity ..??
 
Na walikuwa wanafanya nini?? Wengine tumekuja mjini 21 century
 
Hawa ni macelebrity au ulimaanisha wauza sura wa 90's.Hapo labda Chris phabby na K single aka kibacha ndo unaweza waita maceleb.
 
Hawa ni macelebrity au ulimaanisha wauza sura wa 90's.Hapo labda Chris phabby na K single aka kibacha ndo unaweza waita maceleb.

Umeongea nilichotaka kusema kwani mtu kama baraka hajawahi kuwa celeb!labda angesema matozi wa slipway miaka hiyo na pia dar es salaam miaka hiyo kila kitongoji kilikuwa na wakali ila si hawa!!!....wakali wa kinondoni miaka hiyo ya 90...ally one,patrick nyembera,nuru chaduma,nasoro mwanamboka,bamvua,
 
Back
Top Bottom