My Confesion: Nilitoa Mimba

My Confesion: Nilitoa Mimba

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
ilikua saa sita na nusu mchana siku ya Ijumaa......nipo nyumbani baada y akutoka kufundisha Tuisheni mbali kidogo na nyumbani........unaikumbuka likizo ya Mkapa enzizile ukimaliza form 6 unakaa zaidi ya mwaka nyumbani..ndoiyo!!

sasa basi akaja binti na uniform zake..katoroka school,namwangalia kama kanenepa ivi kidogo,ni binti mzuri kwa kweli...
nampokea kwa kumbatio heavy as i used to love that first Girlfriend of Mine,hapo binti yupo Form Four..mwezi wa Sita ivi..
Binti akanipa live anahisi kuwa ana ujauzito..tukapime.NI mtoto wa mchungaji na kwao ni sheria kali..ukizingatia ni first born..

kufika mjini tukapima mtoto kweli ni mjamzito..miezi miwili.Daktar kuona ile Uniform akajua ni wakusoma..akaadvise tutoe,garama ni 15,000...nikajadiliana na binti akapropose tutoe pia..sikupenda..nilitamani nitoroke..niljua ni dhambi kubwa...nilizidiwa nguvu..ikabidi nikubali kuitoa.....akatoa ile mimba......bahati ilitoka bil amatatizo....tukarudi nyumbani..nikamsindikiza hadi kwao...after a week akarudi shuleni.......ingawa baada ya mimi kwenda chuo uhusiano wetu haukuendelea..ila hadi leo bado tunapendana (kaka na dada 😛eep:..kaolewa na ana mtoto mmoja sasa...

huwa naikumbuka sana iyo situation n akuniumiza sana moyo wangu........natamani isingewezekana kuw ahivyo..ila haiwezekani.......

haya wale woote hapa mliowahi/mnaotarajia kutoa au kushawishi kutoa ujauzito...kiri na utubu kwenye thread hii...
mimi nilishakiri na kumuomba Mungu anisamehe...but is not bad to share it with you
 
its your confession so to speak................Mungu akusamehe
 
Wewe ndo ulitoa au yeye? jinsia yako ni ipi?!
Na ulitoa au ilitolewa?
 
Sijatoa wala kutolewa mimba, bali nakumbuka jirani yetu kipenzi alipoteza maisha yake kwa upotofu wa wanaume kama nyinyi alikuwa form 3.

RIP M
 
hizo ni issue za kawaida kuna jamaa yangu yeye ametoa tano mpaka
sasahivi kwa hiyo si dhani kama ni isue control birth rate
 
hivi..kwa nini watu wasitumie njia za uzazi wa mpango??sex is a great responsibility..hayo mambo ya kutoa mimba na kutubu kila kikicha..na kurudia makosa yale yale tena ni dhaifu!!!
 
Duh hizi issue mbili za kutoa mimba na kutumia condom zinachanganya hata dini zetu.Je watu wafe kwa ukimwi kwa kutokutumia condom au watu wazae wangali shule kwa kutokutumia condom au kutokutoa mimba?.

To me it is a bit complicated lakini hebu wengine tuchangie kuhusu haya mambo mawili naona kama yanaenda pamoja wakati tunatoa confessions zetu kwani naamini majority yetu humu tumeshatenda hii dhambi(nikiwa mmoja wapo)
 
hivi..kwa nini watu wasitumie njia za uzazi wa mpango??sex is a great responsibility..hayo mambo ya kutoa mimba na kutubu kila kikicha..na kurudia makosa yale yale tena ni dhaifu!!!

Phina,it is a bit complicated my dear,hata uzazi wa mpango ni kinyume na mahubiri ya dini zetu,hebu imagine hata kutumia condom pia ni dhambi,kwamba bora u-abstain au uwe na mpenzi mmoja ulieoa kwa ndoa,je haya tunayaweza kwa udhaifu wetu wa kibinadamu?Just thinking loud
 
najua wanasema hamna dhambi kubwa kiliko nyingine..lakini abortion ni uuaji.and everytime you do that you are not the same!a part of you dies with your unborn child..walah!waulize watu..ukipata mtu mkweli atakuambia!
halafu watu hawatumii kinga-mfano condoms sio kwa sababu ya kuogopa dhambi.,wana yao!!
 
its true pia nataka kuuliza in a family ambayo wanashka sana maadili imetokea one of the parents kaathirika by other means kama ajali hv watafanyje na bado wana tamaniana? na using condm is nt allowed
 
najua wanasema hamna dhambi kubwa kiliko nyingine..lakini abortion ni uuaji.and everytime you do that you are not the same!a part of you dies with your unborn child..walah!waulize watu..ukipata mtu mkweli atakuambia!
halafu watu hawatumii kinga-mfano condoms sio kwa sababu ya kuogopa dhambi.,wana yao!!

Phina ndio maana nimesema hizi issues mbili ya kutokutumia condoms and abortions ni very complicated.Nilishawahi kuwa na "maongezi" na rafiki yangu padre kuhusu haya mambo mawili,he never satisfied me with his religious based opinion.
 
kikungu-umenena vyema.siku zote kazi ya padre ni kuilinda imani..so far-I THINK birth control as discussed in religion is based on a cultural point of view eg in christianity from the jews and it was in the old testament that a man was cursed for withdrawal (i hope i am correct with the part cursed) lakini tumepewa maarifa na uwezo wa ya kuchagua..it is much wiser not to conceive-by whatever means, than ending ones life before it has started!
 
ukiwa na ufahamu wa family planning....swala la abbotion alikupi shida.....cjawahi toa but alinisumbui kulisikia
 
thanks for sharing your experience and may God give you peace.
 
kikungu-umenena vyema.siku zote kazi ya padre ni kuilinda imani..so far-I THINK birth control as discussed in religion is based on a cultural point of view eg in christianity from the jews and it was in the old testament that a man was cursed for withdrawal (i hope i am correct with the part cursed) lakini tumepewa maarifa na uwezo wa ya kuchagua..it is much wiser not to conceive-by whatever means, than ending ones life before it has started!

mbona hata kondom zinazuia kuanza kwa maisha? kwa sababu kitendo cha kuzuia mbegu zisifuate mkondo wake wa "asili"
ni kitendo cha "uuaji" pia. au vipi?
 
mbona hata kondom zinazuia kuanza kwa maisha? kwa sababu kitendo cha kuzuia mbegu zisifuate mkondo wake wa "asili"
ni kitendo cha "uuaji" pia. au vipi?

godfrey tajiri.,my argument is based on the fact that the sperm has the ability to fertilize an egg..but until fertilization has occured, one cannot say pro-creation (per se) has occurred. u cannot end something that has not started yet..so until fertilization has occured things are still left to chance..and nothing is definite yet.
 
Unachotakiwa ni kutubu, na toba iwe ya kweli na uamini Mungu amekusamehe then usahau na usonge mbele na maisha. Mungu wetu anasamehe na huwa hakumbuki dhambi ya mtu
 
Aisee..nakiri kutoa moja with my ex..na kumsaidia kutoa nyingine...kwahiyo jumla ni mbili...Mungu uwarehemu hao na utusamehe makosa yetu wakosaji..
 
Back
Top Bottom