My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
Wachana nao
They think they're too perfect and smart.

Nimesikitishwa na huu uzi bhasi tu..
Ila sio kitu kikubwa sana kama ukiamua kuishi kawaida maana mimi kuna mtu kwenye ukoo wetu alikuwa kati ya wale watu wa mwanzoni kuukwaa lakini hadi leo yupo fresh na anavyoishi life lake huwezi kudhani kama hata anatumia ARV

so usiishi kwa hofu wala kujiogopa zaidi jipende zaidi na ujiepushe na unnecessary stress. Stay strong dadaa
 
Pole dadangu / Mdogo wangu.Maisha lazima yaendelee.Kibinadamu mara ya Kwanza lazima uwe na hofu,lakini Muda huwa ni tabibu mzuri sana.Nakuhakikishia hali uliyokua nayo siku ukiwa chumba cha dr.na sasa unavoaandika huu uzi ni tofauti.

Zidi kumwaminini Mungu,kula vizuri (namaanisha kula vizuri)Wanasema "You are what you eat".Usitumie Muda wako kujutia tena,ushajuta imetosha.

Mamake rafiki yangu aligundua afya yake si sawa rafiki yangu akiwa primary,alikua anasali walau rafiki amalize lasaba(mwanae)Alimaliza mpk chuo na sasa yupo kazini.Sali,fanya kazi,kula na pumzika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna pisi napambana nayo pm huko inaelekea kuchomoa nimeambia ije na vipimo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe hapa leo hubanduki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila pambana tu huko pm
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…