My confession: Hornet is Positive

My confession: Hornet is Positive

Status
Not open for further replies.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe hapa leo hubanduki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila pambana tu huko pm
Nibanduke niache bebi wangu wamnyanyapae...alipo nipoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakuhakikishia, hao ni wakupuuza kabisa.

KAMA KUNA MWANAJF ANAYETAKIWA KUPEWA TUZO YA HESHIMA NA KUTUKUKA BASI Hornet ANAFAA 100%.

Hiki kitendo chake tu mbele ya jamii ambayo inamjua kama "Hornet" kinaenda kuokoa watu wengi sana humu ndani.
Miaka michache iliyopita ulimtusi alipoomba ushauri kuwa anapenda ngono kupita kawaida.
Ungemshauri leo usingesikitika, badala yake ulimbeza.
Ninaposema wabongo wengi ni wanafiki ninamaanisha.
Wote mnajibaraguza humu nimesoma posts zenu za 2017 sijaamini, ushahidi mmoja[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Extrovert
Wangari Maathai
Screenshot_20200913-133219.jpg
 
Miaka michache iliyopita ulimtusi alipoomba ushauri kuwa anapenda ngono kupita kawaida.
Ungemshauri leo usingesikitika, badala yake ulimbeza.
Ninaposema wabongo wengi ni wanafiki ninamaanisha.
Wote mnajibaraguza humu nimesoma posts zenu za 2017 sijaamini, ushahidi mmoja[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Extrovert
Wangari Maathai View attachment 1568516
shida nini?
mbona umekamia hivi?
 
umemuumbua vilivyo, watu wanafiki sana wakija hapa ndio wa kwanza mara pole mara sijui nini, ukifukua kaburi uko nyuma ni wa se nge na wanafiki wakutupwa, ndio walikua wa kwanza kum beza Hornet
pumbav zao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom