[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwaiyo watu baada ya kuombwa michango wameanza kufukua makaburi ya watu dah kweli jf kuna watu hawanagabkazi za kufanya

Maisha haya ni yako pamoja na wazee wako na Mola wako, usishuhulike na vituko vya comments za JamiiForums. Tabasamu kwasababu bado unaishi fanya maisha yako yawe matamu. Kila la kheri [emoji2973]