TANZIA My dad is gone

Pole sana ndugu, binafsi nina miezi kadhaa toka nimpoteze mzee wangu, kuna moment huwaga namkumbuka snaa adi chozi linantoka,,Hakika wapumzike kwa amani wazazi wetu wote walotangulia mbele ya haki!
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year and today is 4th

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana , nilipoteza baba angu nikiwa na mwaka mmoja, nikajapoteza tena mama angu nikiwa na miaka sita, mpk Sasa bado nakula msoto wa maisha lkn naamini Mola hamtupi mja wake..
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year and today is 4th

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana mkuu. May his soul R.I.P
 
Pole sana hauko peke yako hata mimi nimempoteza father mwaka sasa ila kuna mda picha yake inakuja nawaza mpaka chozi ila ndo hivyo tena msiba hauna uzoefu
 
Pole sana , nilipoteza baba angu nikiwa na mwaka mmoja, nikajapoteza tena mama angu nikiwa na miaka sita, mpk Sasa bado nakula msoto wa maisha lkn naamini Mola hamtupi mja wake..
Pole sana mkuu[emoji1677][emoji1756][emoji1317]
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year and today is 4th

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Mkuu ukiwa mtu mzima hauitwi yatima, yatima ni kwa watoto wadogo ambao wamefiwa na wazazi wao, kama mtu unachezea keyboard humo mtandaoni sio yatima! pole kwa kufiwa ila usjiite yatima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…