Septemba11
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 620
- 532
Pole sana ndugu, binafsi nina miezi kadhaa toka nimpoteze mzee wangu, kuna moment huwaga namkumbuka snaa adi chozi linantoka,,Hakika wapumzike kwa amani wazazi wetu wote walotangulia mbele ya haki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana , nilipoteza baba angu nikiwa na mwaka mmoja, nikajapoteza tena mama angu nikiwa na miaka sita, mpk Sasa bado nakula msoto wa maisha lkn naamini Mola hamtupi mja wake..Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year and today is 4th
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sana mkuu. May his soul R.I.PTumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year and today is 4th
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Pole sanaPole sana nimepoteza Baba yangu toka February lkn mpk leo nashindwa kufuta namba yake. Pole sana sana mkuu. Hata nikipita pale Kisutu sitaki kutazama upande ule wa makaburi.
Pole sana mkuu[emoji1677][emoji1756][emoji1317]Pole sana , nilipoteza baba angu nikiwa na mwaka mmoja, nikajapoteza tena mama angu nikiwa na miaka sita, mpk Sasa bado nakula msoto wa maisha lkn naamini Mola hamtupi mja wake..
Mkuu ukiwa mtu mzima hauitwi yatima, yatima ni kwa watoto wadogo ambao wamefiwa na wazazi wao, kama mtu unachezea keyboard humo mtandaoni sio yatima! pole kwa kufiwa ila usjiite yatima.Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year and today is 4th
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Mkuu nimerekebieha natumaini niliweka kimakosa, Asante kwa kunijuzaMtoto halali na hela umeweka reaction ya kucheka kiukweli sijskuelewa.