TANZIA My dad is gone

Mkuu ukiwa mtu mzima hauitwi yatima, yatima ni kwa watoto wadogo ambao wamefiwa na wazazi wao, kama mtu unachezea keyboard humo mtandaoni sio yatima! pole kwa kufiwa ila usjiite yatima.
Asante mkuu
 
Pole sana mkuu! Mungu akutie nguvu. Hauko pekee Yako katika njia unayopita, pamoja na jitihada kubwa tulizofanya ni week ya 3 sasa tangu Mzee wetu atangulie mbele za haki, mpaka sasa siamini naiona kama ndoto. Kufiwa kugumu hakuna uzoefu!
[emoji1756][emoji1756][emoji1756] pole sana mkuu
 
Dah! Hii thread imerudisha chozi langu upya! My big man..[emoji24][emoji24]

Pole sana mkuu, familia na ndugu wote, Mungu awafariji wote, haizoeleki hata kidogo hii kitu!!!
Pole sana mkuu[emoji24]
 
Pole sana ndugu, binafsi nina miezi kadhaa toka nimpoteze mzee wangu, kuna moment huwaga namkumbuka snaa adi chozi linantoka,,Hakika wapumzike kwa amani wazazi wetu wote walotangulia mbele ya haki!
Pole mkuu
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year and today is 4th

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo

Now I ain't got nothing to lose
Pole sana, mungu awatie nguvu
 
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?

I lost my mother 4th February this year and today is 4th

I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo

Now I ain't got nothing to lose
Pole sana..MUNGU akupatie FARAJA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…