EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #241
Asante mkuuMkuu ukiwa mtu mzima hauitwi yatima, yatima ni kwa watoto wadogo ambao wamefiwa na wazazi wao, kama mtu unachezea keyboard humo mtandaoni sio yatima! pole kwa kufiwa ila usjiite yatima.