EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #141
[emoji1756][emoji1756]Naingia Jf ndio post ya kwanza nakutana nayo, Dah Pole sana Mkuu imeniumiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1756][emoji1756]Naingia Jf ndio post ya kwanza nakutana nayo, Dah Pole sana Mkuu imeniumiza
[emoji1677][emoji1677][emoji1677] Asante mkuuPole sana. We si wa kwanza wala wa mwisho mwanangu. Wote njia ni moja japo shida hatujui lini na nani ataanza au kumalizia
Dah pole Sana mkuuTumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Ndio Mzee tulimuuguza Rabininsia hospitalPole sana mkuu...Mungu awape faraja. Nakumbuka ulisema alikuwa na complications za kisukari.
[emoji1756]Kesho nayo ni siku itafika,ya jana hayatokuumiza tena,Mungu aliweka kitu kwetu tusahau,Amani ya moyo ikawe ndani mwako!
Amelala kwa Amani.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]they still live with you,
they are not gone,
close your eyes and fell them,
huwa hawatuachi kamwe sema imani nyingi zasasa ndio huweka mipaka nakutufanya tuwe wanyonge.
Aisee dada acha tu, najua unajua maumivu ya kufiwa kwa kuwa ulimpoteza maza mwaka janaI am extremely sorry for your loss. I am sorry for what you are going through.
Be strong, you will get through this EINSTEIN112.
Pole sana mkuuPole mkuu
Pole sana mkuuPole sana ndugu..
Mie mwenyewe sina baba wala mama, mana yangu kafariki mwaka jana August,...Nimeshindwa kupona kabisa yaani..
Asante kwa usahihisho mkuuPole sana kwa kuondokewa , ktk uislam yatima ni yule mtu aliefiwa na baba yake ingali hajabalehe akisha balehe sio yatima tena, je ww haujabalehe? Naaamini ww sio yatima
Pole mkuuPole sana mkuu, Mungu akutie nguvu. Mimi nimempoteza Mzee wangu tarehe 23 last month, alikuwa mgonjwa kwa miaka saba wa stroke ya upande wa kushoto lakini alikuwa anajimudu.
Alipochoma chanjo siku ya tatu tu akaanza kupata homa na sukari kupanda. Within a week tukampoteza, hapa bado niko msibani yani.
[emoji1756][emoji1756]So sorry for the lost. May their souls Rest in Eternal Peace. May God give you strength in this mourning season